Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20191227_181747.jpg
Tanzania Prisons wamekubali kupoteza mchezo wa ligi kuu kwa mara ya kwanza msimu huu na kuipa Yanga pointi tatu muhimu.
 
H
Hata sijaona wala kuusikiliza huo mpira ujue. Wajua nilipo tena.

Hivyo hata sina kauli kwenye hilo Ses.
Aya bibie kwa leo umesameheka, ila utakapoangalia marudio usisite kuleta maoni yako maana kwenu Wananchi mkishinda ndio refa yupo fair lakini kinyume chake inakua nongwa🤣🤣🤣
 
H
Aya bibie kwa leo umesameheka, ila utakapoangalia marudio usisite kuleta maoni yako maana kwenu Wananchi mkishinda ndio refa yupo fair lakini kinyume chake inakua nongwa🤣🤣🤣
Hahahahaaa. Sababu kuna mechi tunastahili kushinda kabisa ila unakuta refa kabisa ndio chanzo cha sisi kutokupata matokeo.
 
Back
Top Bottom