Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Singida United wanasema wao ni nani hata wasipate points 3 mbele ya Yanga hapo kesho.
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cc Shadeeya 🤣🤣🤣Tuacheni na timu yetu.. Win or lose Yanga till DeathView attachment 1329575
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kitu hawawezi ona. Si unajua Mzee Aden Rage aliona mbali sana juu ya hawa wadau!?[emoji2]Mbona timu yetu ilicheza vizuri tu Mtani. Haikuwa tu bahati kwetu.
Ushaambiwa hatukupigiwa Simu wala kuandikiwa barua Bali tuliipenda wenyewe tukiwa timamu kabisa. Hatutoiacha Yanga yetuTafuta ujue wenzio walikokimbilia.
Usiteseke mwenyewe mwenyewe
Hahahaaa!! Itakuwa too much sasa kupoteza na game ya leo Mtani.Singida United wanasema wao ni nani hata wasipate points 3 mbele ya Yanga hapo kesho.
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI NI NANI MPAKA NIKATAE HII KAULI MKUU.Tuacheni na timu yetu.. Win or lose Yanga till DeathView attachment 1329575
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hamjawahi kuwafunga wakiwa nyumbani kwaoHahahaaa!! Itakuwa too much sasa kupoteza na game ya leo Mtani.
Daaa singida washazikwapua pointi tatu aseeKumbuka hamjawahi kuwafunga wakiwa nyumbani kwao
Kila lakheri Shadeeya
Kila lakheri Singida United
#3PointsLoading...................
Hongereni kwa ushindi aisee, halafu kazeni kazeni basi mwishoni mwa ligi muwepo hata top 4.Daaa singida washazikwapua pointi tatu asee
Mtani una lingine? 🤣Kumbuka hamjawahi kuwafunga wakiwa nyumbani kwao
Kila lakheri Shadeeya
Kila lakheri Singida United
#3PointsLoading...................
Hongera ya kishingo upande hata hatuitaki Mtani. 😎😎😎Hongereni kwa ushindi aisee, halafu kazeni kazeni basi mwishoni mwa ligi muwepo hata top 4.
Hakika Mkuu. Yule Morison umemuona?Timu yetu inabidi game hii ndo iwe turning point ya kuweka mambo sawa
Kama Singida wangewakazia leo si ingekua timuatimua pale Jangwani? Washukuruni basi japo kidogo ShadeeyaMtani una lingine? 🤣