Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200229_083054.jpg

😂😂😂😂​
 
MOLINGA SIBOMANA KUSUBIRI MECHI YA MBAO FC

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema washambuliaji wake David Molinga na Patrick Sibomana wanahitaji kufanya mazoezi kwa siku kadhaa kabla ya kuanza kuwatumia

Wachezaji hao walikosekana kikosini kwa wiki kadhaa kutokana na sababu mbalimbali

Kuelekea mchezo dhidi ya Alliance ambao utapigwa kesho, Eymael amesema wachezaji hao hatarajii kuwatumia "Kuhusu kuwatumia Molinga na Sibomana hapana kwakuwa hawajafanya mazoezi na timu,labda mechi ya Jumanne ndio naweza kuwatumia kama watakuwa fit kimchezo," amesema

Kikosi cha Yanga kitashuka uwanja wa Taifa leo Jumamosi kucheza na Alliance Fc na Jumanne watacheza na Mbao Fc
Mechi zenu tatu zijazo mtapata points 4 kati ya 9.

Kila lakheri Shadeeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha achukue maamuzi magumu kumbadilisha morson kuwa mfungaji wa kati waliopo sasa molinga na ykpe ni janga la dunia
 
MOLINGA SIBOMANA KUSUBIRI MECHI YA MBAO FC

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema washambuliaji wake David Molinga na Patrick Sibomana wanahitaji kufanya mazoezi kwa siku kadhaa kabla ya kuanza kuwatumia

Wachezaji hao walikosekana kikosini kwa wiki kadhaa kutokana na sababu mbalimbali

Kuelekea mchezo dhidi ya Alliance ambao utapigwa kesho, Eymael amesema wachezaji hao hatarajii kuwatumia "Kuhusu kuwatumia Molinga na Sibomana hapana kwakuwa hawajafanya mazoezi na timu,labda mechi ya Jumanne ndio naweza kuwatumia kama watakuwa fit kimchezo," amesema

Kikosi cha Yanga kitashuka uwanja wa Taifa leo Jumamosi kucheza na Alliance Fc na Jumanne watacheza na Mbao Fc
Hivi Dante na Feisal ndio kusema hawana namba na hawapo kwenye mipango ya mwalimu kabisa sahizi?
 
Nyie mlienda hadi matuta na matuta yenyewe ikawa tia maji tia maji[emoji2]
Natafuta ile clip ya Manara kama ataiona alivyokuwa anafurahia nimletee aone.

Yaani hata hakuamini kama wamepita.
 
Back
Top Bottom