Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1372177
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hehehe, mmejitahidi , timu ya ligi daraja la kwanza mnafikia stage ya kujipiga piga kifua na kufurah kuifunga, n maendeleo lakiniUmeonaeee. Huu msimamo uliwakata mdomo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1370073
Aiseee mnapata wapi jeuri ya kuongea?View attachment 1372177
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi zenu tatu zijazo mtapata points 4 kati ya 9.MOLINGA SIBOMANA KUSUBIRI MECHI YA MBAO FC
Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema washambuliaji wake David Molinga na Patrick Sibomana wanahitaji kufanya mazoezi kwa siku kadhaa kabla ya kuanza kuwatumia
Wachezaji hao walikosekana kikosini kwa wiki kadhaa kutokana na sababu mbalimbali
Kuelekea mchezo dhidi ya Alliance ambao utapigwa kesho, Eymael amesema wachezaji hao hatarajii kuwatumia "Kuhusu kuwatumia Molinga na Sibomana hapana kwakuwa hawajafanya mazoezi na timu,labda mechi ya Jumanne ndio naweza kuwatumia kama watakuwa fit kimchezo," amesema
Kikosi cha Yanga kitashuka uwanja wa Taifa leo Jumamosi kucheza na Alliance Fc na Jumanne watacheza na Mbao Fc
Tarehe nane ndo utapata jibu Mtani
Chepesi kutabiri huwa ni mvua tu mtani. 😅Mechi zenu tatu zijazo mtapata points 4 kati ya 9.
Kila lakheri Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo nyie hamkufurahi mlipoitoa kwa penalti stand?hehehe, mmejitahidi , timu ya ligi daraja la kwanza mnafikia stage ya kujipiga piga kifua na kufurah kuifunga, n maendeleo lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Dante na Feisal ndio kusema hawana namba na hawapo kwenye mipango ya mwalimu kabisa sahizi?MOLINGA SIBOMANA KUSUBIRI MECHI YA MBAO FC
Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema washambuliaji wake David Molinga na Patrick Sibomana wanahitaji kufanya mazoezi kwa siku kadhaa kabla ya kuanza kuwatumia
Wachezaji hao walikosekana kikosini kwa wiki kadhaa kutokana na sababu mbalimbali
Kuelekea mchezo dhidi ya Alliance ambao utapigwa kesho, Eymael amesema wachezaji hao hatarajii kuwatumia "Kuhusu kuwatumia Molinga na Sibomana hapana kwakuwa hawajafanya mazoezi na timu,labda mechi ya Jumanne ndio naweza kuwatumia kama watakuwa fit kimchezo," amesema
Kikosi cha Yanga kitashuka uwanja wa Taifa leo Jumamosi kucheza na Alliance Fc na Jumanne watacheza na Mbao Fc
Nyie mlienda hadi matuta na matuta yenyewe ikawa tia maji tia maji[emoji2]hehehe, mmejitahidi , timu ya ligi daraja la kwanza mnafikia stage ya kujipiga piga kifua na kufurah kuifunga, n maendeleo lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
kwann tufurahi ?? hakuna cha kujivunia hapo, furaha ingekuwepo kama angekunywa 7-0 huko..ujinga mtupu siku ileHivyo nyie hamkufurahi mlipoitoa kwa penalti stand?
ila hatukurahi , na tulilaum sana , pita kwenye page utaona , kuanzia upangaji wa kikos, ujinga ujinga tu siku ileNyie mlienda hadi matuta na matuta yenyewe ikawa tia maji tia maji[emoji2]
Ooh. Basi hukufurahi wewe peke yako Mkuu mana wenzio kibao walifurahia.kwann tufurahi ?? hakuna cha kujivunia hapo, furaha ingekuwepo kama angekunywa 7-0 huko..ujinga mtupu siku ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta ile clip ya Manara kama ataiona alivyokuwa anafurahia nimletee aone.Nyie mlienda hadi matuta na matuta yenyewe ikawa tia maji tia maji[emoji2]
Heeeee!! Wacha kutudanganya basi na wewe Mkuu.ila hatukurahi , na tulilaum sana , pita kwenye page utaona , kuanzia upangaji wa kikos, ujinga ujinga tu siku ile
Sent using Jamii Forums mobile app
kwann tufurahi ?? hakuna cha kujivunia hapo, furaha ingekuwepo kama angekunywa 7-0 huko..ujinga mtupu siku ile
Sent using Jamii Forums mobile app
ila hatukurahi , na tulilaum sana , pita kwenye page utaona , kuanzia upangaji wa kikos, ujinga ujinga tu siku ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mlienda hadi matuta na matuta yenyewe ikawa tia maji tia maji[emoji2]
timu daraja la kwanza ni timu ya kupata bao vs simba ? ni mechi ya kuamuliwa kwa matuta ? huo ndio ujinga wenyeweOoh. Basi hukufurahi wewe peke yako Mkuu mana wenzio kibao walifurahia.
Ujinga kiaje?