Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kabisaa!! Tunamvumilia tu sababu ya Klabu yetu imeyumba yumba ila nje ya hapo yule sio level za kuchezea Yanga.
Mimi nakataa Shadeeya kwa uwezo alionao Mo Linger alipaswa awe anacheza ligi kubwa Ulaya, amemzidi uwezo Robert Lewandowski wa Bayern Munich, unataka kusema nini Shadeeya.
Tafadhali mpe heshima yake Papaa Mo Linger.
 
Ujue bana Mtani hizi mambo kwa kuwa zimetokea kwa kufuatana hatuna budi kukubali tu maneno zenu zote sababu hata tungeshinda mngesema mganga kashikilia pale pale pa tarehe 08.

Tunaganga ya Namungo na baada ya hapo Azam. Japo naona kiza nene mbele ila mwanga utapatikana tu.
Au Jeri Muro ameondoka na password

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Nimekuja na wachezaji wachache lakini nna imani tutafanya vizuri na kupata matokeo dhidi ya timu bora Namungo FC, Ni kama Simba SC baada ya kupoteza mchezo waliinuka na kushinda mchezo unaofuata 8-0 hii ni ishara ya timu bora. . naamini vijana wangu pia watathibitisha hilo leo jioni kuwa Yanga SC ni kubwa na timu bora. . Kuhusu wachezaji ambao hawajasafiri pamoja na timu nadhani ni vema nikaliweka wazi hili. . nimesikitishwa sana kwangu mimi ni kukosa uweledi wengine ni majeruhi kama Adeyun , Kelvin Yondani ana matatizo ya kifamilia na Niyonzima Haruna amesimamishwa . . wengine nasikia imewahi kutokea huko nyuma, hili sikubaliani nao na sio kariba ya klabu kubwa kama Yanga . . kuna wachezaji wanachagua mechi za kucheza yaani Sadio Mane ama Mohamed Salah aseme hataki kwenda kucheza huko?. . OOOOOPs ni nini hicho? kuna wachezaji wanadhani wao ni Ronaldo au Messi? hata hao hawafanyi hivo . . hii sio heshima kwa klabu, hii sio heshima kwa nembo ya Yanga SC. . sio heshima kwa wachezaji wenzao na wafanyakazi wote wa Yanga na mashabiki wake"

-Luc Eymael.

NIMESIKITIKA SANA NIMEONA KOCHA KAONGEA KWA MASIKITIKO SANA. SIJUI KUNA KITU GANI KINAENDELEA SISI HATUJUI
 
Hao kina Kelvin yawezekana ni sehemu ya uhujumu
 
Attachments

  • VID-20200315-WA0021.mp4
    13.3 MB
Shadeeya tumefanikiwa kushinda na Njaa dhidi ya Namungo.
Msimu huu Yanga hatuna mpinzani ubingwa ni wetu huu.
87645700_883443425433732_5879789273078562816_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Nimekuja na wachezaji wachache lakini nna imani tutafanya vizuri na kupata matokeo dhidi ya timu bora Namungo FC, Ni kama Simba SC baada ya kupoteza mchezo waliinuka na kushinda mchezo unaofuata 8-0 hii ni ishara ya timu bora. . naamini vijana wangu pia watathibitisha hilo leo jioni kuwa Yanga SC ni kubwa na timu bora. . Kuhusu wachezaji ambao hawajasafiri pamoja na timu nadhani ni vema nikaliweka wazi hili. . nimesikitishwa sana kwangu mimi ni kukosa uweledi wengine ni majeruhi kama Adeyun , Kelvin Yondani ana matatizo ya kifamilia na Niyonzima Haruna amesimamishwa . . wengine nasikia imewahi kutokea huko nyuma, hili sikubaliani nao na sio kariba ya klabu kubwa kama Yanga . . kuna wachezaji wanachagua mechi za kucheza yaani Sadio Mane ama Mohamed Salah aseme hataki kwenda kucheza huko?. . OOOOOPs ni nini hicho? kuna wachezaji wanadhani wao ni Ronaldo au Messi? hata hao hawafanyi hivo . . hii sio heshima kwa klabu, hii sio heshima kwa nembo ya Yanga SC. . sio heshima kwa wachezaji wenzao na wafanyakazi wote wa Yanga na mashabiki wake"

-Luc Eymael.

NIMESIKITIKA SANA NIMEONA KOCHA KAONGEA KWA MASIKITIKO SANA. SIJUI KUNA KITU GANI KINAENDELEA SISI HATUJUI

Mliwaahidi milioni 10 kila mmoja wakishinda tarehe 08 mmeshindwa kutimiza ahadi, mlitegemea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom