Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Wapi nimesema sina uhakika lakini?Huna uwakika na timu yako mbovu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimesema sina uhakika lakini?Huna uwakika na timu yako mbovu[emoji23]
Kuweponi tu na leo sijui mutasema nini. 🤣🤣🤣Tupo[emoji16]
Mimi nakataa Shadeeya kwa uwezo alionao Mo Linger alipaswa awe anacheza ligi kubwa Ulaya, amemzidi uwezo Robert Lewandowski wa Bayern Munich, unataka kusema nini Shadeeya.Kabisaa!! Tunamvumilia tu sababu ya Klabu yetu imeyumba yumba ila nje ya hapo yule sio level za kuchezea Yanga.
Kitu chepesi kutabiri ni Mvua - hii ni kwa mujibu wako mwenyeweMECHI NGUMU ILA NAAMINI TUTAPAMBANIA TUIBUKE NA POINTS 3.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Sawa nitakuwa pamoja nawe wakati huo kukupa faraja, kama unavyojua tena timu yetu ni gari la mkaa.Troisième Ceil karibu saa kumi Timu ya Wananchi itakuwa Uwanjani. 😎
Au Jeri Muro ameondoka na passwordUjue bana Mtani hizi mambo kwa kuwa zimetokea kwa kufuatana hatuna budi kukubali tu maneno zenu zote sababu hata tungeshinda mngesema mganga kashikilia pale pale pa tarehe 08.
Tunaganga ya Namungo na baada ya hapo Azam. Japo naona kiza nene mbele ila mwanga utapatikana tu.
Naamini ile Yanga halisi itaendelea kuonekana, sio ile ya waganga.Kuweponi tu na leo sijui mutasema nini. 🤣🤣🤣
Kuweponi tu na leo sijui mutasema nini. 🤣🤣🤣
Kuweponi tu na leo sijui mutasema nini. 🤣🤣🤣
Mimi nakataa Shadeeya kwa uwezo alionao Mo Linger alipaswa awe anacheza ligi kubwa Ulaya, amemzidi uwezo Robert Lewandowski wa Bayern Munich, unataka kusema nini Shadeeya.
Tafadhali mpe heshima yake Papaa Mo Linger.
Duuh kwa tafsiri nyingine ni 3, aisee humtakii mema ShadeeyaLeo Utopolo bajaji inamtosha[emoji23]
"Nimekuja na wachezaji wachache lakini nna imani tutafanya vizuri na kupata matokeo dhidi ya timu bora Namungo FC, Ni kama Simba SC baada ya kupoteza mchezo waliinuka na kushinda mchezo unaofuata 8-0 hii ni ishara ya timu bora. . naamini vijana wangu pia watathibitisha hilo leo jioni kuwa Yanga SC ni kubwa na timu bora. . Kuhusu wachezaji ambao hawajasafiri pamoja na timu nadhani ni vema nikaliweka wazi hili. . nimesikitishwa sana kwangu mimi ni kukosa uweledi wengine ni majeruhi kama Adeyun , Kelvin Yondani ana matatizo ya kifamilia na Niyonzima Haruna amesimamishwa . . wengine nasikia imewahi kutokea huko nyuma, hili sikubaliani nao na sio kariba ya klabu kubwa kama Yanga . . kuna wachezaji wanachagua mechi za kucheza yaani Sadio Mane ama Mohamed Salah aseme hataki kwenda kucheza huko?. . OOOOOPs ni nini hicho? kuna wachezaji wanadhani wao ni Ronaldo au Messi? hata hao hawafanyi hivo . . hii sio heshima kwa klabu, hii sio heshima kwa nembo ya Yanga SC. . sio heshima kwa wachezaji wenzao na wafanyakazi wote wa Yanga na mashabiki wake"
-Luc Eymael.
NIMESIKITIKA SANA NIMEONA KOCHA KAONGEA KWA MASIKITIKO SANA. SIJUI KUNA KITU GANI KINAENDELEA SISI HATUJUI
Na leo mlipotoka sare dhidi ya Namungo inamaana Simba imebebwa? Tulieni sindano ziwaingieNinyi mmefika hapo mlipo kwa kubebwa na si vinginevyo