Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
Yanga ni timu mbovu sana, marehemu anayetembea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi hamumtaki? Au ndio sizitaki mbichi hizi hahahaha. Hamna timu nyieUnajitisha mwenyewe Mkuu.
Huyo mwari wa mauza uza mbebeni tu. 😅
Hahahaa.Nyinyi hamumtaki? Au ndio sizitaki mbichi hizi hahahaha. Hamna timu nyie
😅😅😅Ha ha ha baada ya kipigo akaishia kusema jamani nipo karantini huku ulaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
🐸Hongereni kwa kutwaa Ubingwa, MORRISON CUP hahahahahaha.
Mkuu huyo Katabazi ameshaharibu mambo huko.Usikose kuangalia kipindi cha Tamasha la Michezo ITV kuanzia saa nane mchana ili umshuhudie Kocha Liston Katabazi akieleza kwa undani madudu ya TFF na ubadhilifu wa pesa unaofanywa na viongozi wachumia tumbo wa shirikisho hilo ambao ndio chanzo cha kudumaa kwa mchezo wa Soka hapa nchini.
Ana balaa zito...
Hatari Mkuu.Ana
Ana balaa zito...
Kuna Watu watatamani kukimbia nchi lakini Corona itawazuia
Shukran Mkuu.Shadeeya
Unaonekana wewe ni mwana Yanga kindakindaki
Hongereni kwa timu ya Wananchi kuzindua Jarida lao, App yao na Website yao
Ila website hiyo waambie haipo secured, Yanga ni taasisi kubwa Tanzania (Hata Manara anajua) warekebishe Jambo hilo
Shukran Mkuu.
Tulishawasilisha hili Mkuu na wanalifanyia kazi.
Manara anaachaje kujua sasa Mkuu. 😅😅
Oooh. Lilishaisha hilo.Halafu na App pia watu wengine wanalalamika kuwa wanashindwa kuipakuwa, hapa inawezekana wanashindwa kuelezwa njia sahihi ya kuipakuwa App hiyo (Wengi wao waliojaribu kuipakuwa Mara ya kwanza ikawagomea kabla ya App kufanyiwa marekebisho)
Duuh!!Kama kweli wewe ni Yanga Kindakindaki nitunuku jezi chapa GSM kwa maoni niliyotoa hapa * Ninatania* ... Sitanii
Mbona hawajavaa chapa GSM?View attachment 1450602
HII NDIO MAANA YA TIMU YA WANANCHI. [emoji126]
WENGINE SIJUI MNAKWAMA WAPI KUJA KUWA SEHEMU YA TIMU YA WANANCHI. TEH TEH.