Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Babu umefika hadi huku. Lol.Leo mnacheza netball naona...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu umefika hadi huku. Lol.Leo mnacheza netball naona...
Tutaanzisha kesho siku maalum ya kutangaza ubingwa.Mikia leo hawajaanzisha uzi lol.
Mana huwa wana vimbelembele. 😂😂😂 Wamejua kuotea.
Eti netbal lolLeo mnacheza netball naona...
Oooh. Sawa.Tutaanzisha kesho siku maalum ya kutangaza ubingwa.
Naona umepata nguvu😎Ndio ndio.
Mie nguvu nnazo oli ze taimu. 😎😎Naona umepata nguvu😎
Haya sawa Shadeeya nimeelewa.😀😀Hizi Updates uwe unazileta hadi kwenye zile nyuzi wanaanzisha mikia wenzio Mtani. 😀😀😀
Ila hii ligi bora iishage tu.Haya sawa Shadeeya nimeelewa.😀😀
Kwanini Shadeeya au umechoshwa na mateso wanayokupa Yanga?Ila hii ligi bora iishage tu.
Hahahahaaa. Mtani kuniwazia hivyo aje tena?Kwanini Shadeeya au umechoshwa na mateso wanayokupa Yanga?
Mmefanikiwa kucheza netball na watoto wenzenuBabu umefika hadi huku. Lol.
😳Mmefanikiwa kucheza netball na watoto wenzenu
Dah hatimaye baada ya siku 365 kupita😜😀🐸🐸
Basi mikia wakajua ngoma imelala wakasahau timu ya wananchi mapambano yake hukatika pale filimbi ya mwisho inapopulizwa
_USHABIKI SIYO UADUI_ ,De Mkunungu wenzangu hivi bado mechi ngapi tuwe mabingwa?
Daima mbele
Hahahahaaaa. Kawaida yao hao.Basi mikia wakajua ngoma imelala wakasahau timu ya wananchi mapambano yake hukatika pale filimbi ya mwisho inapopulizwa
Sent using Jamii Forums mobile app