Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshaanza kutunga maneno kisa ile video ya juzi. LolMorison ni mchezaji wa Ajabu sana mara nyingi huwa nalala nae chumba kimoja.Ila mambo anayoifanya yanaogopesha unaweza ukashtuka usiku ukakuta amekaa anakucheki.
" Said Juma Makapu"
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Wee endelea kudhania tu kwamba kila siku ni jumapili. 😎😎😎Uongozi wa club ya Simba unawatakia kila la kheri timu ya Yanga imalize nafasi ya pili kwenye ligi kuu ili wakutane tena kwenye ngao ya jamii kuendeleza pale walipoishia (4G).
😀😀😀😀Naona Maiti ilimng'ang"ania mhudumu Wa mochwari hadi ikafanikiwa kumuua!
Matokeo ngapi ngapi?Daah hii mechi kama Fainali sitashangaa matokeo yakiwa ndivyo sivyo😀😝
Wape Salaaaam
De Mkunungu kashinda 3 kwa 1.Matokeo ngapi ngapi?
Hahahaha, mkataba wao unasemajeKwa nini hizi tshirt hazina nembo ya club?View attachment 1507851View attachment 1507853View attachment 1507854View attachment 1507855
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app