Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Nyie mnamsumbua na vijesentNshamjua sasa. lol.
Duuh!! Hivyo yule pia mlikuwa mnammendea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnamsumbua na vijesentNshamjua sasa. lol.
Duuh!! Hivyo yule pia mlikuwa mnammendea?
Kwa Yanga yangu ninayoiamini na kuikubali kwa kila hali sina budi kusema mwenye kuona huko kupo kunakomfaa aende tu kwani mwisho wa siku tunaendelea na Slogan yetu ya "DaimaMbeleNyumaMwiko"Nyie mnamsumbua na vijesent
Timu kongwe na maskiniKwa Yanga yangu ninayoiamini na kuikubali kwa kila hali sina budi kusema mwenye kuona huko kupo kunakomfaa aende tu kwani mwisho wa siku tunaendelea na Slogan yetu ya "DaimaMbeleNyumaMwiko"
#Since1935.
Kwani nyie wenyewe utajiri si mmeupata juzi juzi tu.Timu kongwe na maskini
Wakati mwingine unajiuliza, umejaza machezaji ya nje, lakini unakutana na Kagera sugar au Polisi unapigwa kama mtoto mdogo. halafu bado wanasema tanzania hamna wachezaji. hela nyingi inatumika kuleta wachezaji wa hovyo hovyo ambao wana viwango duni kuliko wa hapa nchini.Niliwahi kuliwazaga hili Mkuu japo wajua tena viongozi wao ndio wenye maamuzi.
Mana kama hela tulizomaliza kuwachukua kina Yikpe naimani humu Tanzania tungepata wachezaji bora zaidi ya hao.
Wana kauli yao kwamba wachezaji wa ndani sio wazuri kwenye mechi za kimataifa.
Huyo mhilu sijui kwa nini hatufanyi jitihada zozote za kumrudishaWakati mwingine unajiuliza, umejaza machezaji ya nje, lakini unakutana na Kagera sugar au Polisi unapigwa kama mtoto mdogo. halafu bado wanasema tanzania hamna wachezaji. hela nyingi inatumika kuleta wachezaji wa hovyo hovyo ambao wana viwango duni kuliko wa hapa nchini.
kama hatuna hela za kuleta wachezaji wazuri kama wa Simba, bora tujenge timu na wachezaji wa ndani, walipwe vizuri, mbona kina Yusufu Mhilu wanafanya vizuri kule Kagera Sugar.
Kila siku kwenye magazeti tunaona propaganda tu zinaendelea kumbe hamna lolote la maana linafanyika.
Si unajua wanataka tena kutuletea mabomu kama kina YikpeHuyo mhilu sijui kwa nini hatufanyi jitihada zozote za kumrudisha
Hakika usemalo nadhani wangefanya hivyo aisee.Wakati mwingine unajiuliza, umejaza machezaji ya nje, lakini unakutana na Kagera sugar au Polisi unapigwa kama mtoto mdogo. halafu bado wanasema tanzania hamna wachezaji. hela nyingi inatumika kuleta wachezaji wa hovyo hovyo ambao wana viwango duni kuliko wa hapa nchini.
kama hatuna hela za kuleta wachezaji wazuri kama wa Simba, bora tujenge timu na wachezaji wa ndani, walipwe vizuri, mbona kina Yusufu Mhilu wanafanya vizuri kule Kagera Sugar.
Kila siku kwenye magazeti tunaona propaganda tu zinaendelea kumbe hamna lolote la maana linafanyika.
Halafu huyu jamaa uliona namna alicheza kwenye ile mechi ya juzi na Mwadui.Si unajua wanataka tena kutuletea mabomu kama kina Yikpe
Kwani utajiri si wa Mo kwani ni wa Simba!? Na wao kama hawahangaiki kuweka mipango thabiti ipo siku watarudi kwenye hali yao ya kawaida. Mana kwa jinsi wanavyoenda sahz ni kama Mo anawapa hisani tu. Kwa kifupi na wao hawana mipango thabiti ya wazi inayoonyesha namna gani timu inaweza jiendesha kwa brand yake na mambo yakanyooka.Kwani nyie wenyewe utajiri si mmeupata juzi juzi tu.
Na sisi tuko mbioni kuelekea huko.
#Transfomation.
Pumbavu sana.Si unajua wanataka tena kutuletea mabomu kama kina Yikpe
Huyu kijana wasimpoteze.
Sawa mtaniKwani nyie wenyewe utajiri si mmeupata juzi juzi tu.
Na sisi tuko mbioni kuelekea huko.
#Transfomation.
😂😂 Najua hamuezi usahau ule mkuki.
Kwenda zako huko.