Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Niliwahi kuliwazaga hili Mkuu japo wajua tena viongozi wao ndio wenye maamuzi.

Mana kama hela tulizomaliza kuwachukua kina Yikpe naimani humu Tanzania tungepata wachezaji bora zaidi ya hao.

Wana kauli yao kwamba wachezaji wa ndani sio wazuri kwenye mechi za kimataifa.
Wakati mwingine unajiuliza, umejaza machezaji ya nje, lakini unakutana na Kagera sugar au Polisi unapigwa kama mtoto mdogo. halafu bado wanasema tanzania hamna wachezaji. hela nyingi inatumika kuleta wachezaji wa hovyo hovyo ambao wana viwango duni kuliko wa hapa nchini.

kama hatuna hela za kuleta wachezaji wazuri kama wa Simba, bora tujenge timu na wachezaji wa ndani, walipwe vizuri, mbona kina Yusufu Mhilu wanafanya vizuri kule Kagera Sugar.

Kila siku kwenye magazeti tunaona propaganda tu zinaendelea kumbe hamna lolote la maana linafanyika.
 
Huyo mhilu sijui kwa nini hatufanyi jitihada zozote za kumrudisha
 
Wakati mwingine unajiuliza, umejaza machezaji ya nje, lakini unakutana na Kagera sugar au Polisi unapigwa kama mtoto mdogo. halafu bado wanasema tanzania hamna wachezaji. hela nyingi inatumika kuleta wachezaji wa hovyo hovyo ambao wana viwango duni kuliko wa hapa nchini.

kama hatuna hela za kuleta wachezaji wazuri kama wa Simba, bora tujenge timu na wachezaji wa ndani, walipwe vizuri, mbona kina Yusufu Mhilu wanafanya vizuri kule Kagera Sugar.

Kila siku kwenye magazeti tunaona propaganda tu zinaendelea kumbe hamna lolote la maana linafanyika.
Hakika usemalo nadhani wangefanya hivyo aisee.

Angalia kipenseli, fei toto wote hao ni mazao ya ndani na wako vizuri tu.
 
MAZOEZI YAMEENDELEA KWA TIMU YA WANANCHI KUELEKEA KUMALIZIA MECHI ZA VPL SEASON YA 2019/2020
20200720_131643.jpg
 
Kwani nyie wenyewe utajiri si mmeupata juzi juzi tu.

Na sisi tuko mbioni kuelekea huko.

#Transfomation.
Kwani utajiri si wa Mo kwani ni wa Simba!? Na wao kama hawahangaiki kuweka mipango thabiti ipo siku watarudi kwenye hali yao ya kawaida. Mana kwa jinsi wanavyoenda sahz ni kama Mo anawapa hisani tu. Kwa kifupi na wao hawana mipango thabiti ya wazi inayoonyesha namna gani timu inaweza jiendesha kwa brand yake na mambo yakanyooka.
 
Back
Top Bottom