Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Simba ,Hans nae msikute kaaingizwa chaka , na huyo Morison , na km kweli Simba + Hans ,mmempa hela BM nanyi mmepigwa ,kwan kanuni itawabana

Kifupi mwambieni Hans ktk hili kdg kateleza asiforce vitu sana hasa pale tff
Na nikasema huyu jamaa kajua kucheza na akili za wa Tz mana nimesikia sehemu eti anajitapa kwamba anaeza saini Yanga, Simba na Azam halafu akifungiwa anarudi kwao Ghana kula Maisha.

Hivyo si ajabu hawa pia wameingizwa chaka huku akijua dhahiri ana mkataba halali Yanga.
 
Hans yupi?
 
Wachambuzi mtaongezeka sana mwaka huu. Na bado.

#DaimaMbeleNyumaMwisho
Wala haiitaji kua na Phd kujua kua dogo anachemka. Hata mjomba Ngasa alionywa sana aachane na Chura FC akaendeleze kipaji chake na kujikusanyia dolari za Trump kule El Mereikh Sudan, Yanga wakamlaghai na "mapenzi ya club". Matokeo yake ndio kama hivyo tena, jua limemchwea, atatafuta timu ya mchangani
 
Na nikasema huyu jamaa kajua kucheza na akili za wa Tz mana nimesikia sehemu eti anajitapa kwamba anaeza saini Yanga, Simba na Azam halafu akifungiwa anarudi kwao Ghana kula Maisha.

Hivyo si ajabu hawa pia wameingizwa chaka huku akijua dhahiri ana mkataba halali Yanga.
Hahahaha kuna siku nilikua na mchambuzi mmoja wa wasafi sehemu tunayajenga ,aliliongelea hii kitu
 
Back
Top Bottom