Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii ni tafsiri kwamba,...! Simba wanaijua hukumu itakayotoka pale TFF siku ya jumatatu,...!
Soka letu linakwenda wapi??... Mchezaji ana mgogoro wa kimkataba na timu,A,..hukumu,yake bado haijatoka,...ti
mu B inamtangaza kumsajiri,.....! Hapa kuna mambo mazito saaaaaaana yamejificha,...! Rais wa TFF,..upo,....! Watendaji wa TFF mpo wakati haya yanatendeka,....! Mtajisafisha kwa sabuni gani ili sisi watu wa Yanga tuwe na imani,na nyie tena ???... huu ndio utawala wa ukweli na uwazi mh KARIA ??...Au,umekuja kufukua makaburi ya akina Twite???... Ni lini hasa U simba na U,yanga utaisha nchi,hii??
Sipingi Morison kutangazwa na Simba kuwa wamemsajili......! Ila kinachonipa mashaka,...! Je ,.kuna ukweli,kuwa hukumu ya kesi hiyo tayari Simba wanayo mkononi kwa sasa???... Ni kwa nini wasingesubiri tar 11 kumtangaza mara baada ya kuhumu,yake kusomwa tar 10???... TFF mnakuja kumsomea nani hukumu,yenu wakati tayari mazingira yanaonesha hukumu yenu kuna watu tayari wanayo???...
Pamoja na maswali,yangu,haya,....! Niwapongeze Simba na TFF pia,...!Mmepata jembe...!
Hongereni saaaana

Huyu[emoji1369] jamaa anajiuliza maswali ninayojiuliza
 
Hahahaaa. Mtani Ungejua nilivyo na hasira nao hao GSM. Acha tu.

Nitawaelewa ikiwa kinyume na haya ya leo ila nje ya hapo. lol
Naanza kuwa na wasiwasi na La liga deal pia,wakisolve la Morrisson kwa kufungiwa au asipocheza sawa,ila akicheza nitajua Yanga hatuna viongozi
 
Hii ni tafsiri kwamba,...! Simba wanaijua hukumu itakayotoka pale TFF siku ya jumatatu,...!
Soka letu linakwenda wapi??... Mchezaji ana mgogoro wa kimkataba na timu,A,..hukumu,yake bado haijatoka,...ti
mu B inamtangaza kumsajiri,.....! Hapa kuna mambo mazito saaaaaaana yamejificha,...! Rais wa TFF,..upo,....! Watendaji wa TFF mpo wakati haya yanatendeka,....! Mtajisafisha kwa sabuni gani ili sisi watu wa Yanga tuwe na imani,na nyie tena ???... huu ndio utawala wa ukweli na uwazi mh KARIA ??...Au,umekuja kufukua makaburi ya akina Twite???... Ni lini hasa U simba na U,yanga utaisha nchi,hii??
Sipingi Morison kutangazwa na Simba kuwa wamemsajili......! Ila kinachonipa mashaka,...! Je ,.kuna ukweli,kuwa hukumu ya kesi hiyo tayari Simba wanayo mkononi kwa sasa???... Ni kwa nini wasingesubiri tar 11 kumtangaza mara baada ya kuhumu,yake kusomwa tar 10???... TFF mnakuja kumsomea nani hukumu,yenu wakati tayari mazingira yanaonesha hukumu yenu kuna watu tayari wanayo???...
Pamoja na maswali,yangu,haya,....! Niwapongeze Simba na TFF pia,...!Mmepata jembe...!
Hongereni saaaana

Huyu[emoji1369] jamaa anajiuliza maswali ninayojiuliza
Tff kuanzia gardener mpaka Karia wote Simba,kesi ya Nyani unaipeleka kwa Ngedere? Wanajua kesi yanga hashindi
 
hukumu ishatoka tayari,

ila kuna mtu wenu amekaa nayo mfukoni,

wanaomba huruma yenu mashabiki
 
Viongozi wa Yanga na GSM tunasubilia tamko lenu,barua tu haitoshi
GSM wao ni jezi tu,

hili la usajili watalikana mda si mrefu,,

danadana zilikuwa nyingi ktkt ligi,, walipohojiwa kwa nn wanachukua mapato ya uwanjani, wakanuna na wakatishia kujitoa.
 
Viongozi wa Yanga na GSM tunasubilia tamko lenu,barua tu haitoshi
Kama hao viongozi wa Yanga labda wahojiwe kwa kupigiwa simu na wale waandishi wa habari wadaku ndio watazungumza nje ya hapo huwezi ona wanazungumza.

Kwani hawana kawaida hiyo. Wao wanaona barua ndo muhimu.
 
Kama hao viongozi wa Yanga labda wahojiwe kwa kupigiwa simu na wale waandishi wa habari wadaku ndio watazungumza nje ya hapo huwezi ona wanazungumza.

Kwani hawana kawaida hiyo.
Mwenyekiti sijawahi msikia,ila hili lazima liondoke n mtu
 
Hii ni tafsiri kwamba,...! Simba wanaijua hukumu itakayotoka pale TFF siku ya jumatatu,...!
Soka letu linakwenda wapi??... Mchezaji ana mgogoro wa kimkataba na timu,A,..hukumu,yake bado haijatoka,...ti
mu B inamtangaza kumsajiri,.....! Hapa kuna mambo mazito saaaaaaana yamejificha,...! Rais wa TFF,..upo,....! Watendaji wa TFF mpo wakati haya yanatendeka,....! Mtajisafisha kwa sabuni gani ili sisi watu wa Yanga tuwe na imani,na nyie tena ???... huu ndio utawala wa ukweli na uwazi mh KARIA ??...Au,umekuja kufukua makaburi ya akina Twite???... Ni lini hasa U simba na U,yanga utaisha nchi,hii??
Sipingi Morison kutangazwa na Simba kuwa wamemsajili......! Ila kinachonipa mashaka,...! Je ,.kuna ukweli,kuwa hukumu ya kesi hiyo tayari Simba wanayo mkononi kwa sasa???... Ni kwa nini wasingesubiri tar 11 kumtangaza mara baada ya kuhumu,yake kusomwa tar 10???... TFF mnakuja kumsomea nani hukumu,yenu wakati tayari mazingira yanaonesha hukumu yenu kuna watu tayari wanayo???...
Pamoja na maswali,yangu,haya,....! Niwapongeze Simba na TFF pia,...!Mmepata jembe...!
Hongereni saaaana

Huyu[emoji1369] jamaa anajiuliza maswali ninayojiuliza
Na nimesikia hiyo tarehe 10 sio siku ya hukumu bali ni kesi itaendelea kusikilizwa hapo ndio ujue TFF ni Mbumbumbu.
 
Back
Top Bottom