1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
utapigwa burnUshapigwa dole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utapigwa burnUshapigwa dole
Naanza kuwa na wasiwasi na La liga deal pia,wakisolve la Morrisson kwa kufungiwa au asipocheza sawa,ila akicheza nitajua Yanga hatuna viongoziHahahaaa. Mtani Ungejua nilivyo na hasira nao hao GSM. Acha tu.
Nitawaelewa ikiwa kinyume na haya ya leo ila nje ya hapo. lol
Acha uchochezi uchwara
Tff kuanzia gardener mpaka Karia wote Simba,kesi ya Nyani unaipeleka kwa Ngedere? Wanajua kesi yanga hashindiHii ni tafsiri kwamba,...! Simba wanaijua hukumu itakayotoka pale TFF siku ya jumatatu,...!
Soka letu linakwenda wapi??... Mchezaji ana mgogoro wa kimkataba na timu,A,..hukumu,yake bado haijatoka,...ti
mu B inamtangaza kumsajiri,.....! Hapa kuna mambo mazito saaaaaaana yamejificha,...! Rais wa TFF,..upo,....! Watendaji wa TFF mpo wakati haya yanatendeka,....! Mtajisafisha kwa sabuni gani ili sisi watu wa Yanga tuwe na imani,na nyie tena ???... huu ndio utawala wa ukweli na uwazi mh KARIA ??...Au,umekuja kufukua makaburi ya akina Twite???... Ni lini hasa U simba na U,yanga utaisha nchi,hii??
Sipingi Morison kutangazwa na Simba kuwa wamemsajili......! Ila kinachonipa mashaka,...! Je ,.kuna ukweli,kuwa hukumu ya kesi hiyo tayari Simba wanayo mkononi kwa sasa???... Ni kwa nini wasingesubiri tar 11 kumtangaza mara baada ya kuhumu,yake kusomwa tar 10???... TFF mnakuja kumsomea nani hukumu,yenu wakati tayari mazingira yanaonesha hukumu yenu kuna watu tayari wanayo???...
Pamoja na maswali,yangu,haya,....! Niwapongeze Simba na TFF pia,...!Mmepata jembe...!
Hongereni saaaana
Huyu[emoji1369] jamaa anajiuliza maswali ninayojiuliza
Na hawatakuwa na legitimacy ya kuendelea kwenye nafasi zao hata hao GSMNaanza kuwa na wasiwasi na La liga deal pia,wakisolve la Morrisson kwa kufungiwa au asipocheza sawa,ila akicheza nitajua Yanga hatuna viongozi
Yeah sureNa hawatakuwa na legitimacy ya kuendelea kwenye nafasi zao hata hao GSM
Kama ni kweli mchezaji alisaini basi haijalishi tff ni nani, ndio muda Wa viongozi wetu kujipatia kiki. Kinyume na hapo tutawaachia timu yaoTff kuanzia gardener mpaka Karia wote Simba,kesi ya Nyani unaipeleka kwa Ngedere? Wanajua kesi yanga hashindi
hukumu ishatoka tayari,Hii ni tafsiri kwamba,...! Simba wanaijua hukumu itakayotoka pale TFF siku ya jumatatu,...!
Soka letu linakwenda wapi??... Mchezaji ana mgogoro wa kimkataba na timu,A,..hukumu,yake bado haijatoka,...ti
mu B inamtangaza kumsajiri,.....! Hapa kuna mambo mazito saaaaaaana yamejificha,...! Rais wa TFF,..upo,....! Watendaji wa TFF mpo wakati haya yanatendeka,....! Mtajisafisha kwa sabuni gani ili sisi watu wa Yanga tuwe na imani,na nyie tena ???... huu ndio utawala wa ukweli na uwazi mh KARIA ??...Au,umekuja kufukua makaburi ya akina Twite???... Ni lini hasa U simba na U,yanga utaisha nchi,hii??
Sipingi Morison kutangazwa na Simba kuwa wamemsajili......! Ila kinachonipa mashaka,...! Je ,.kuna ukweli,kuwa hukumu ya kesi hiyo tayari Simba wanayo mkononi kwa sasa???... Ni kwa nini wasingesubiri tar 11 kumtangaza mara baada ya kuhumu,yake kusomwa tar 10???... TFF mnakuja kumsomea nani hukumu,yenu wakati tayari mazingira yanaonesha hukumu yenu kuna watu tayari wanayo???...
Pamoja na maswali,yangu,haya,....! Niwapongeze Simba na TFF pia,...!Mmepata jembe...!
Hongereni saaaana
Huyu[emoji1369] jamaa anajiuliza maswali ninayojiuliza
Yeah,akipigwa ban kama South alivyotoswa na faini kwa mbumbumbu fc hapo sawa,hivi hivi tu na story za Hersi zitakuwa ni fakeKama ni kweli mchezaji alisaini basi haijalishi tff ni nani, ndio muda Wa viongozi wetu kujipatia kiki. Kinyume na hapo tutawaachia timu yao
Ngoja tusubiriHahahaaa. Mtani Ungejua nilivyo na hasira nao hao GSM. Acha tu.
Nitawaelewa ikiwa kinyume na haya ya leo ila nje ya hapo. lol
GSM wao ni jezi tu,Viongozi wa Yanga na GSM tunasubilia tamko lenu,barua tu haitoshi
Unadhani! wanacheza na akili zetu hawa sio bure.Naanza kuwa na wasiwasi na La liga deal pia,wakisolve la Morrisson kwa kufungiwa au asipocheza sawa,ila akicheza nitajua Yanga hatuna viongozi
Hakika.Na hawatakuwa na legitimacy ya kuendelea kwenye nafasi zao hata hao GSM
Kama hao viongozi wa Yanga labda wahojiwe kwa kupigiwa simu na wale waandishi wa habari wadaku ndio watazungumza nje ya hapo huwezi ona wanazungumza.Viongozi wa Yanga na GSM tunasubilia tamko lenu,barua tu haitoshi
Yes mkataba ni jezi,hayo mengine mbona wao wenyewe kila siku wnayasema kupitia HersiGSM wao ni jezi tu,
hili la usajili watalikana mda si mrefu,,
danadana zilikuwa nyingi ktkt ligi,, walipohojiwa kwa nn wanachukua mapato ya uwanjani, wakanuna na wakatishia kujitoa.
Mwenyekiti sijawahi msikia,ila hili lazima liondoke n mtuKama hao viongozi wa Yanga labda wahojiwe kwa kupigiwa simu na wale waandishi wa habari wadaku ndio watazungumza nje ya hapo huwezi ona wanazungumza.
Kwani hawana kawaida hiyo.
Ngoja tuone mwisho wakeUnadhani! wanacheza na akili zetu hawa sio bure.
Na ili tuwaamini wayaweke sawa haya.
Na nimesikia hiyo tarehe 10 sio siku ya hukumu bali ni kesi itaendelea kusikilizwa hapo ndio ujue TFF ni Mbumbumbu.Hii ni tafsiri kwamba,...! Simba wanaijua hukumu itakayotoka pale TFF siku ya jumatatu,...!
Soka letu linakwenda wapi??... Mchezaji ana mgogoro wa kimkataba na timu,A,..hukumu,yake bado haijatoka,...ti
mu B inamtangaza kumsajiri,.....! Hapa kuna mambo mazito saaaaaaana yamejificha,...! Rais wa TFF,..upo,....! Watendaji wa TFF mpo wakati haya yanatendeka,....! Mtajisafisha kwa sabuni gani ili sisi watu wa Yanga tuwe na imani,na nyie tena ???... huu ndio utawala wa ukweli na uwazi mh KARIA ??...Au,umekuja kufukua makaburi ya akina Twite???... Ni lini hasa U simba na U,yanga utaisha nchi,hii??
Sipingi Morison kutangazwa na Simba kuwa wamemsajili......! Ila kinachonipa mashaka,...! Je ,.kuna ukweli,kuwa hukumu ya kesi hiyo tayari Simba wanayo mkononi kwa sasa???... Ni kwa nini wasingesubiri tar 11 kumtangaza mara baada ya kuhumu,yake kusomwa tar 10???... TFF mnakuja kumsomea nani hukumu,yenu wakati tayari mazingira yanaonesha hukumu yenu kuna watu tayari wanayo???...
Pamoja na maswali,yangu,haya,....! Niwapongeze Simba na TFF pia,...!Mmepata jembe...!
Hongereni saaaana
Huyu[emoji1369] jamaa anajiuliza maswali ninayojiuliza
Wa kumuondoa huyo mtu wapo Mkuu? Naona kama viongozi walio wengi wamewekwa mifukoni yaani hawafurukuti.Mwenyekiti sijawahi msikia,ila hili lazima liondoke n mtu