Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Kuuumbe!! 😎😎Kushoto mwa hili Jengo mtani kuna mafuriko matupu wallah...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Kuuumbe!! 😎😎Kushoto mwa hili Jengo mtani kuna mafuriko matupu wallah...
Mtani hamna kitu ka ikooo.Kuna siku hata nyie mtapata ila ni baada ya sisi kupata at least mara tano mfululizo[emoji23][emoji23]
Si umeona mwenyewe ujanja uliotumika!??Hahahaa. Kuuumbe!! [emoji41][emoji41]
Uzuri wote tupo hapa..Mtani hamna kitu ka ikooo.
Tunachoangalia si ni penyewe? Hivyo vionjo vya pembeni sio sehemu ya Timu ya Wananchi. [emoji1787][emoji1787]Si umeona mwenyewe ujanja uliotumika!??
Pamezibwa kabisa pasionekane[emoji23][emoji23]
Ewaaa!! Tuombe Allah atupe uzima wa afya Mtani.Uzuri wote tupo hapa..
Kwa kudra za mwenyezi tukiwa tupo nitakukumbusha
Mh eneo lote lenu lile mtaniTunachoangalia si ni penyewe? Hivyo vionjo vya pembeni sio sehemu ya Timu ya Wananchi. [emoji1787][emoji1787]
Ndio kusema unaongea na simu Mtani? 🤣🤣🤣Mna kikosi cha kujenga timu siyo cha kuchukua Ubingwa, msimu ujao mtamaliza nafasi ya 4 nyuma ya Namungo, Azam fc, na mabingwa wa nchi timu tishio kuwahi kutokea kwenye historia ya mpira wa miguu duniani Mnyama mkali Simba sc kiboko ya Utopolo.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Yangu macho.Level za Utopolo ni Manyema fc, Kauzu fc, Abajalo fc, Kiluvya fc nk.
Level za Mnyama mkali Simba sc ni Fc Bayern Munich, Real Madrid, Paris St German, Manchester United.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Simba bingwa VPL 2020/2021
Simba bingwa ASFC 2020/2021
Simba bingwa CWC 2020/2021
Naongea na wewe e e naongea na wewe usijifanye huniskii.😜😁Ndio kusema unaongea na simu Mtani? 🤣🤣🤣
Yanaona vizuri lakini au nikupe Miwani😜😁Yangu macho.
Tuisila kisinda hajawahi funga goli wala kuassist[emoji23][emoji23][emoji23], Ibenge alisema mchezaji anakimbia kama kakatwa kichwaWastaafu FC. Lol[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Walowahi kuchinja mabata ya mzee wao Dalali. Wakachoma ukuta wao wa makuti pale msimbazi,kisa kuja na matokeo yao mfukoni.We waache waje na goli zao mfukoni wakidhania kila siku ni jumapili hapo ndio watakaporudia yale ya miaka ileeee.
#Kuvunjaviti.
Hahahaaaaaa.View attachment 1542623
UZEE MWISHO MSIMBAZI
Pia usisahau magoli yao mengi ni ya kuotea,penalty za babu Kagere za kutengenezewa na marefaAaah!! Nakubali Mtani japo niseme tu naamini wakina Waziri watafanya vizuri.
Kweli ni tishio. Kila mkigusa uwanja nje ya nchi mnapigwa khamsa!!!!Mna kikosi cha kujenga timu siyo cha kuchukua Ubingwa, msimu ujao mtamaliza nafasi ya 4 nyuma ya Namungo, Azam fc, na mabingwa wa nchi timu tishio kuwahi kutokea kwenye historia ya mpira wa miguu duniani Mnyama mkali Simba sc kiboko ya Utopolo.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Kama huo ni mkono wako basi rangi yake ni msimbaziKAMA KAWAIDA WIKI YA WANANCHI INAKARIBIA TUUNGANE WANANCHI.