Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mna kikosi cha kujenga timu siyo cha kuchukua Ubingwa, msimu ujao mtamaliza nafasi ya 4 nyuma ya Namungo, Azam fc, na mabingwa wa nchi timu tishio kuwahi kutokea kwenye historia ya mpira wa miguu duniani Mnyama mkali Simba sc kiboko ya Utopolo.

Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
 
Level za Utopolo ni Manyema fc, Kauzu fc, Abajalo fc, Kiluvya fc nk.

Level za Mnyama mkali Simba sc ni Fc Bayern Munich, Real Madrid, Paris St German, Manchester United.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Simba bingwa VPL 2020/2021
Simba bingwa ASFC 2020/2021
Simba bingwa CWC 2020/2021
 
Ndio kusema unaongea na simu Mtani? 🤣🤣🤣
 
Level za Utopolo ni Manyema fc, Kauzu fc, Abajalo fc, Kiluvya fc nk.

Level za Mnyama mkali Simba sc ni Fc Bayern Munich, Real Madrid, Paris St German, Manchester United.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Simba bingwa VPL 2020/2021
Simba bingwa ASFC 2020/2021
Simba bingwa CWC 2020/2021
Yangu macho.
 
Wastaafu FC. Lol[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Tuisila kisinda hajawahi funga goli wala kuassist[emoji23][emoji23][emoji23], Ibenge alisema mchezaji anakimbia kama kakatwa kichwa

Ni flopper lililoletwa kwa mkopo kupata playing time...... Hahahahaha Pigeni yowe mkistuka bakitubaki 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We waache waje na goli zao mfukoni wakidhania kila siku ni jumapili hapo ndio watakaporudia yale ya miaka ileeee.

#Kuvunjaviti.
Walowahi kuchinja mabata ya mzee wao Dalali. Wakachoma ukuta wao wa makuti pale msimbazi,kisa kuja na matokeo yao mfukoni.
Kipindi hiki mtamchinja yule mzungu wenu roporopo
 
Mna kikosi cha kujenga timu siyo cha kuchukua Ubingwa, msimu ujao mtamaliza nafasi ya 4 nyuma ya Namungo, Azam fc, na mabingwa wa nchi timu tishio kuwahi kutokea kwenye historia ya mpira wa miguu duniani Mnyama mkali Simba sc kiboko ya Utopolo.

Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Kweli ni tishio. Kila mkigusa uwanja nje ya nchi mnapigwa khamsa!!!!
 
Back
Top Bottom