Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wassee wamefffurugwa. 😂😂Madingi yanarapuana vibao hatari! Mkude kakataa kutoa shikamoo akala makonde!
View attachment 1558621
Mooo aarena imegeuka uwanja wa VITASA. 😂😂😂Kwa uonevu huu unaofanywa na wazee wenu kwa vijana!?
View attachment 1558760
Hapana,.. nimecheka tu Simba kaporomoka nafasi nani ila gap lake na nyie ni uzidishw nafasi aliyopo (23) mara 3 ndio zinakaa sehemu mojaHivyo unafurahia kuporomoka Mtani? [emoji41][emoji41]
Oooh!! Halafu mtani hufanyi fair aiseeee. Mbona za chini chini hutuletei unazificha huko?Hapana,.. nimecheka tu Simba kaporomoka nafasi nani ila gap lake na nyie ni uzidishw nafasi aliyopo (23) mara 3 ndio zinakaa sehemu moja
Kitengo chenu cha propaganda kiko vizuri, ila nasikitika jana hamjaleta uzushi wwt, leo vipi, mnakuja na habari gani? furaha yenu mwisho ni leo ujue, kesho tunakaa kileleni hatushuki hadi msimu unaisha
[emoji23][emoji23] tatizo watu wenu wa propaganda wanafeli sana, Magulu yuko hapa mjini, ..wawa , chris na Luis wote wako hapa hawakwenda Mbeya, ni Kwasababu walichelewa jiunga na timu, mtakutana nae kwenye ligi na atawadonoaWanajitahidi kuzifanya siri za ndani ila cha ajabu zinaliki. [emoji23][emoji23][emoji23]
#Wanalo.
Jibu ni kwamba aliomba udhuru akaenda kwao Congo, na amerudi majuzi tu ,Kwa hili swali huezi pata jibu la mana hapa sababu haiingii akilini hata kidogo hii.
Hayo masumbi hadi imanuel okwi yuko kwenye picha ..masumbwi ya wapi hayoOooh!! Halafu mtani hufanyi fair aiseeee. Mbona za chini chini hutuletei unazificha huko?
#Masumbwi Fc.
Sasa mtani propaganda kiaje wakati mambo zinafanyika dhahiri watu wanaona.Kitengo chenu cha propaganda kiko vizuri, ila nasikitika jana hamjaleta uzushi wwt, leo vipi, mnakuja na habari gani? furaha yenu mwisho ni leo ujue, kesho tunakaa kileleni hatushuki hadi msimu unaisha
Mnafeli, Immanuel Okwi si Mchezaji wa Simba, picha za 2018 mnashare leoSasa mtani propaganda kiaje wakati mambo zinafanyika dhahiri watu wanaona.
Hamna kitu ka iko. [emoji41] Yaani this season tutakula sahani moja bandika bandua.
Kuongoza hadi mwisho wa ligi hilo halina rufaa wala mjadala.Kitengo chenu cha propaganda kiko vizuri, ila nasikitika jana hamjaleta uzushi wwt, leo vipi, mnakuja na habari gani? furaha yenu mwisho ni leo ujue, kesho tunakaa kileleni hatushuki hadi msimu unaisha
Mmmmhh!![emoji23][emoji23] tatizo watu wenu wa propaganda wanafeli sana, Magulu yuko hapa mjini, ..wawa , chris na Luis wote wako hapa hawakwenda Mbeya, ni Kwasababu walichelewa jiunga na timu, mtakutana nae kwenye ligi na atawadonoa
Msisahau wanasemaga kwamba kila mficha maradhi kifo umuumbua hivyo shauri yenu Mtani.Jibu ni kwamba aliomba udhuru akaenda kwao Congo, na amerudi majuzi tu ,
Fraga
Luis (leo anaingia)
Wawa
Chris
wote walikua na udhuru Kwasababu mbali mbali