Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hapana,.. nimecheka tu Simba kaporomoka nafasi nani ila gap lake na nyie ni uzidishw nafasi aliyopo (23) mara 3 ndio zinakaa sehemu moja
Oooh!! Halafu mtani hufanyi fair aiseeee. Mbona za chini chini hutuletei unazificha huko?

#Masumbwi Fc.
 
Ngoja nimuite huyu shushushu wao aje atuambie anaendeleaje kishingo wa watu. [emoji28]

Danpol.
Kitengo chenu cha propaganda kiko vizuri, ila nasikitika jana hamjaleta uzushi wwt, leo vipi, mnakuja na habari gani? furaha yenu mwisho ni leo ujue, kesho tunakaa kileleni hatushuki hadi msimu unaisha
 
NAIMANI TUTAKUWA NA MWANZO MZURI INSHA ALLAH.
20200905_074534.jpg
 
Wanajitahidi kuzifanya siri za ndani ila cha ajabu zinaliki. [emoji23][emoji23][emoji23]

#Wanalo.
[emoji23][emoji23] tatizo watu wenu wa propaganda wanafeli sana, Magulu yuko hapa mjini, ..wawa , chris na Luis wote wako hapa hawakwenda Mbeya, ni Kwasababu walichelewa jiunga na timu, mtakutana nae kwenye ligi na atawadonoa
 
Kitengo chenu cha propaganda kiko vizuri, ila nasikitika jana hamjaleta uzushi wwt, leo vipi, mnakuja na habari gani? furaha yenu mwisho ni leo ujue, kesho tunakaa kileleni hatushuki hadi msimu unaisha
Sasa mtani propaganda kiaje wakati mambo zinafanyika dhahiri watu wanaona.

Hamna kitu ka iko. 😎 Yaani this season tutakula sahani moja bandika bandua.
 
Sasa mtani propaganda kiaje wakati mambo zinafanyika dhahiri watu wanaona.

Hamna kitu ka iko. [emoji41] Yaani this season tutakula sahani moja bandika bandua.
Mnafeli, Immanuel Okwi si Mchezaji wa Simba, picha za 2018 mnashare leo
 
Kitengo chenu cha propaganda kiko vizuri, ila nasikitika jana hamjaleta uzushi wwt, leo vipi, mnakuja na habari gani? furaha yenu mwisho ni leo ujue, kesho tunakaa kileleni hatushuki hadi msimu unaisha
Kuongoza hadi mwisho wa ligi hilo halina rufaa wala mjadala.
#Simba Bingwa 2020/2021
 
[emoji23][emoji23] tatizo watu wenu wa propaganda wanafeli sana, Magulu yuko hapa mjini, ..wawa , chris na Luis wote wako hapa hawakwenda Mbeya, ni Kwasababu walichelewa jiunga na timu, mtakutana nae kwenye ligi na atawadonoa
Mmmmhh!!
 
Jibu ni kwamba aliomba udhuru akaenda kwao Congo, na amerudi majuzi tu ,

Fraga
Luis (leo anaingia)
Wawa
Chris

wote walikua na udhuru Kwasababu mbali mbali
Msisahau wanasemaga kwamba kila mficha maradhi kifo umuumbua hivyo shauri yenu Mtani.
 
Wakuu jezi vipi kesho ligi inaanza tutavaa nini pale kwa Mkapa? Mbona tunatia aibu hivi wananchi wenzangu.

Daima mbele nyuma mwiko
Shadeeya
 
Back
Top Bottom