Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hivi kuuliza njia aliyotumia kumchagua Babra ambaye alikuwa kwenye Mo foundation kuwa CEO sio jambo la msingi hilo?hamna cha msingi hapo akijitoa mhindi simba haina tofauti na majimaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuuliza njia aliyotumia kumchagua Babra ambaye alikuwa kwenye Mo foundation kuwa CEO sio jambo la msingi hilo?hamna cha msingi hapo akijitoa mhindi simba haina tofauti na majimaji
Tena wao mshawasha wao umevuka kipimo. 😂😂
🤣🤣🤣 Hatari.Nasikia Moo kahonga timu kwa demu wake. Sijui mikia wamebaki na nini.
Siku huyo demu anaamka vibaya anaigeuza kuwa timu ya mpira wa Pete
Dooh!!!Usiku wa deni haukawii kucha.
Kila lakheri Tanzania Prisons chapa hawa Utopolo de Mkunungu bao 1.
Umeshasahau kama mko mbioni kununuliwa. 😂😂Mnyama mkali Simba sc tunaanza ligi kwa Gharika la magoli.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2020/2021
Mtani hata mtuseme vipi tutasimama na MO pamoja na CEO wetu mpya barbar, tunamwamini MO maana alituletea Senzo hadi watani zetu mmemtamani mmemchukua.Hahahaa. Kumbe goli zimeongezeka mana niliacha 3 - 1. Hahahahahaaaaa.
Wacha niwahi natumai sio bao la mkono. [emoji23][emoji23]
Mtani hatutakua wa kwanza sisi, mlianza nyie, GSM hamekiuka mkataba hajaleta jezi lakini hata hamhoji, mmesema tu ndio GSM tutatumia zile zile za zamani.Umeshasahau kama mko mbioni kununuliwa. [emoji23][emoji23]
Yaani itakuwa kwenye kila idara yenu kinachozungumzwa nyie ni yes tu.
Mtani hata mtuseme vipi tutasimama na MO pamoja na CEO wetu mpya barbar, tunamwamini MO maana alituletea Senzo hadi watani zetu mmemtamani mmemchukua.
Ya kwetu tuachie sisi, nyie bakini na GSM wenu
Leo hii Mtani. 🤔Mtani hatutakua wa kwanza sisi, mlianza nyie, GSM hamekiuka mkataba hajaleta jezi lakini hata hamhoji, mmesema tu ndio GSM tutatumia zile zile za zamani.
GSM kamleta mtendaji kinyume na katiba yenu wala hata hamhoji. Ya kwetu tuachie sisi. Nyie pambaneni na hali zenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mbona watani mnamuogopa sana MO. MO anavyoipenda Simba hawezi kuona Simba inafanya vibaya maana analia na kulia. Nyie mwangalieni mme wenu gsm maana yule hata uchungu wa timu haujui yeye anaangalia biashara zake, ndo jezi hadi Leo hajaletaUnadhani tunakataa basi Mtani. Wasiwasi wetu Simba isije geuzwa timu ya Rugby tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Nyerere alianza kuzisaidia nchi nyingine kupata Uhuru baada ya nchi yake kua huru. Sasa nyie wenyewe timu yenu imeuzwa kimya kimya kwa gsm lakini mnataka mtusaidie sisi?Leo hii Mtani. [emoji848]
Hahahahaaa. Hamna kuachiwa ya kwenu wakati ndugu zetu mnauzwa huku wenyewe mmetulia tuuli kisa tu shida yenu ushindi. Lol.
#Haiwezekani. [emoji41]
Hahahaaa. Mtani hivyo mnatuiga?Hata Nyerere alianza kuzisaidia nchi nyingine kupata Uhuru baada ya nchi yake kua huru. Sasa nyie wenyewe timu yenu imeuzwa kimya kimya kwa gsm lakini mnataka mtusaidie sisi?
Mtani mbona mnajifanya nyie hamna hamjioni. Mwenyekiti wenu saizi ataongea jambo hamsikulizi hadi aje wa GSM ndo akiongea mnamsikiliza lakini mnajiona mko salama, mwenyekiti aliwaomba mchangie kama mnavyojiita timu ya wananchi lakini hamkumsikiliza mkataka maelezo ya Mme wenu gsm[emoji1] [emoji1] [emoji1]
si bodi ilikaa ikamchagua au alijiteua?Hivi kuuliza njia aliyotumia kumchagua Babra ambaye alikuwa kwenye Mo foundation kuwa CEO sio jambo la msingi hilo?
Wakimaliza mazoezi wanafua wanachezea mechi, nyani ni nyani tu
Usiku wa deni haukawii kucha.
Kila lakheri Tanzania Prisons chapa hawa Utopolo de Mkunungu bao 1.