Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahahaa. Naona umenijibu Kimanara Manara.Ndio ila j/mosi na j/pili ni mapumziko[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa. Naona umenijibu Kimanara Manara.Ndio ila j/mosi na j/pili ni mapumziko[emoji23]
Angalia uyu takataka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiki ni kikundi cha waaalaghai
Hayo mengine hayana umuhimu kwetu, unapaswa kujua kuwa msimu huu hatuachi kitu.Umeshasahau kama mko mbioni kununuliwa. 😂😂
Yaani itakuwa kwenye kila idara yenu kinachozungumzwa nyie ni yes tu.
😂😂😂😂Angalia uyu takataka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Waaaaauweeeeee.Yanga tayari wamewekeza kwa CEO wa mikia...
Unadhani akinogeshwa kuna siri ya mikia itabaki salama!!!View attachment 1560260
Mtani mbona huu uwanja sio ule ilipo kambi yenu?
Mjinga hajibiwi, kosa alilokosea MO ni kumjibu Mjinga huyo
Sijaelewa aim ya swali lako Mtani?Mtani mbona huu uwanja sio ule ilipo kambi yenu?
Nilisikia mkisema mmechukua hotel yenye uwanja mtakua mnafanya mazoezi hapo hapo, vipi tena?Sijaelewa aim ya swali lako Mtani?
Una nini kwani?
Kumbe zishafika saba. 😂😂😂😂. Naamini na hili la freekick lipo. 😂😂
Kwani umejuaje kuwa hapo sio sehemu ya huo Uwanja?Nilisikia mkisema mmechukua hotel yenye uwanja mtakua mnafanya mazoezi hapo hapo, vipi tena?
Kabla yake Simba haikuwa na mafanikio?hamna cha msingi hapo akijitoa mhindi simba haina tofauti na majimaji
Vipi kabla ya Manji yanga ilikuwa inatembeza bakuli???Kabla yake Simba haikuwa na mafanikio?
Ndiyo.Vipi kabla ya Manji yanga ilikuwa inatembeza bakuli???