Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kigwa... 7-1 mooo
FB_IMG_15993769102645378.jpg
FB_IMG_15993766367027079.jpg
FB_IMG_15993762252599320.jpg
 
Umeshasahau kama mko mbioni kununuliwa. 😂😂

Yaani itakuwa kwenye kila idara yenu kinachozungumzwa nyie ni yes tu.
Hayo mengine hayana umuhimu kwetu, unapaswa kujua kuwa msimu huu hatuachi kitu.
Haya makombe ni halali yetu CCL, VPL, ASFC.

Simba nguvu moja
Simba bingwa 2020/2021
 
NAAMINI HII FURAHA TUTAKWENDA NAYO HADI KWA MKAPA HAPO 19:00HRS.
20200906_121927.jpg
 
Back
Top Bottom