Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
haha tambala za kudekiaHa ha ha hata kusema tu bei ya matambala yao huwa wanafanya siri kubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha tambala za kudekiaHa ha ha hata kusema tu bei ya matambala yao huwa wanafanya siri kubwa!
Naaaam !,!!
Wanao mkuu ila si unajua tena sisi Yanga ni Utopolo kwa hiyo wanakuja huku kutudhihaki.Hivi simba hawanaga Uzi wao was Kuchangia ??
KAMA KAWA MAZOEZI YANAEBDELEA KUJIWINDA NA MECHI YA JUMAPILI.
Ama kweli yanga ni klabu pendwaW
Wanao mkuu ila si unajua tena sisi Yanga ni Utopolo kwa hiyo wanakuja huku kutudhihaki.
Daima mbele nyuma mwiko
W
Wanao mkuu ila si unajua tena sisi Yanga ni Utopolo kwa hiyo wanakuja huku kutudhihaki.
Daima mbele nyuma mwiko
Ndio mzigo mpya huu ?
YaapNdio mzigo mpya huu ?
Naona wako liveYaap
Dooh!! Sema tu huku ndo kumechangamka weweee.W
Wanao mkuu ila si unajua tena sisi Yanga ni Utopolo kwa hiyo wanakuja huku kutudhihaki.
Daima mbele nyuma mwiko
Hiyo ramani ya Africa ya nini sasa hapo.
UZI WETU MPYA 👌👌
Hahahahaa!!! Badala ya hiyo ramani ulikuwa unapenda tuweke nini eti Mtani? 😂😂Hilo li ramani la kazi gani sasa.
Ni wivu tu. 😂😂Mbona kuna vidoi vya rangi nyupe wakati ni mwiko kabisa kuwa na rangi za Simba?