Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kaka hivi na Mikia wanapataga sare kumbe?

Mana walichonga sana sisi kupata point moja juzi. Lol
Ndugu yangu hii ndio shida ya kuzoea kubebwa, siku wakukubeba akiyumba kidogo tu ndiyo haya sasa. Mi nimeshangaa juzi walivyopaza sauti hadi nusu ya kuchanika midomo kisa sisi kutoa dro na prisons
 
Tuliposema hatutoi kibali cha Morriso nadhani hawakuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Wao waache na kibali chao feki walichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo
 
Ha haa,ila unajua kama utani jamaa anaweza akashindwa ku-deliver kama Mikia walivyotarajia[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tuliposema hatutoi kibali cha Morriso nadhani hawakuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Wao waache na kibali chao feki walichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo
Morrison ni Yekpe asiye na rasta bali ndevu. Alichomzidi yekpe ni ufupi.
FB_IMG_15999735095638800.jpg
 
Akitoa sare yanga mnaponda kweli ila nyie mkia mkitoa sare ndo mnajua kua mpira una matokeo matatu.
Mabwege nyieeee
 
Back
Top Bottom