Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ukishinda ugenini ni faida zaidi. Kusepa na point 4 ugenini si mbaya, sasa tunakuja kwenye viwanja vyetu vya kupiga watu 4G+Mbona ukishinda ugenini huongeagi hizi maneno.
Acheni zenu Mtani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishinda ugenini ni faida zaidi. Kusepa na point 4 ugenini si mbaya, sasa tunakuja kwenye viwanja vyetu vya kupiga watu 4G+Mbona ukishinda ugenini huongeagi hizi maneno.
Acheni zenu Mtani.
Ni kweli kabisa. Simba akitoa sare ni sawa na kukiona cha moto, maana si kawaida yakeHawa mbwa koko waliokua wanatupigia kelele cha moto wamekipata huko Morogoro
Umefanya nimecheka peke yangu Mtani. lol 😂😂😂Ukishinda ugenini ni faida zaidi. Kusepa na point 4 ugenini si mbaya, sasa tunakuja kwenye viwanja vyetu vya kupiga watu 4G+
Sanaaa kama wewe ulivyofurahi juzi mana mlisahau kabisaa kama sare huwa ni matokeo pia.Umefurahi sana.
Kwa hili akili itawakaa sawa sasa mana walijua wao wameandikiawaga kushinda tu.Hawa mbwa koko waliokua wanatupigia kelele cha moto wamekipata huko Morogoro
Si wanasema budget yao bilion 7 kwa mwaka hawa sasa imekuwaje wanatoka sare?Kwa hili akili itawakaa sawa sasa mana walijua wao wameandikiawaga kushinda tu.
Watu Bwana, Eti Yanga Jana wamezindua jezi zao, Simba Eti kwa kuwajibu wamezindua Sare, ha ha ha mbavu zangu mieKaka hivi na Mikia wanapataga sare kumbe?
Mana walichonga sana sisi kupata point moja juzi. Lol
Atakuwa majeruhi[emoji16]Kwa nini hajaingia Barbara leo akawafungia goli la pili Mtani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yangu hii ndio shida ya kuzoea kubebwa, siku wakukubeba akiyumba kidogo tu ndiyo haya sasa. Mi nimeshangaa juzi walivyopaza sauti hadi nusu ya kuchanika midomo kisa sisi kutoa dro na prisonsKaka hivi na Mikia wanapataga sare kumbe?
Mana walichonga sana sisi kupata point moja juzi. Lol
Sasa wewe uwe unabebwa halafu utoe droo unaona ni kawaida!?Ni kweli kabisa. Simba akitoa sare ni sawa na kukiona cha moto, maana si kawaida yake
Tuliposema hatutoi kibali cha Morriso nadhani hawakuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Wao waache na kibali chao feki walichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo
Morrison ni Yekpe asiye na rasta bali ndevu. Alichomzidi yekpe ni ufupi.Tuliposema hatutoi kibali cha Morriso nadhani hawakuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Wao waache na kibali chao feki walichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo