Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi Mkuu unahangaika na DullyJr ? [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyooo. Mwanzoni sikuwa namuelewa ila sasa huwa nikiona post zake nacheka tu.

Yupo Kutukkkeeeeraaa tu akijua ipo siku tutahama timu.

"DaimaMbeleNyumaMwiko"
Jamani mbona mimi sio wa hivyo, unanionea tu
 
20200919_155101.jpg
 
Kitendo cha kumuanzisha Faisal, Mauya na Mukoko nilijua tu hapa tunaenda kujilinda na sio kushambulia. Timu imekatika mbele wanacheza kivyao na midfield+defence nao wanacheza kivyao. Ilifaa Niyonzima na Farid wawepo hii game. Kama kocha anataka kutoboa ilibidi aanze na Mukoko na mmoja kati ya mauya/Faisal Kisha niyonzima acheze juu kulisha wafungaji
 
Back
Top Bottom