DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Jamani mbona mimi sio wa hivyo, unanionea tuHivi Mkuu unahangaika na DullyJr ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyooo. Mwanzoni sikuwa namuelewa ila sasa huwa nikiona post zake nacheka tu.
Yupo Kutukkkeeeeraaa tu akijua ipo siku tutahama timu.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"