Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu mchezaji amecheza Ligue one ufaransa,Uholanzi pia na nchi kadhaa,then akarudi Burundi kujiunga na Vital O ,inasemekana kocha ndiye alimpendekeza
Maana yake alikuja Vital'O kumalizia kazi ya kucheza, baati nzuri akapata timu mpya ya wachezaji vijana wanaovunjiwa mikataba
 
Hahahaha, mtani wewe huwa uchimbi chimbi hawa players vzr ? Ukiona mchezaji yuko timu za kariako basi mfuatilie utajua
Mi ka huyu ndo nimemuona mida hii hata sijawahi kumuona cha zaidi naona wanaandika tu kaifunga Taifa Stars na mechi yenyewe ya Stars hata sikuangalia. Lol

Inabidi niende huko mitandaoni nikamchimbe.
 
Back
Top Bottom