Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Vital'OOooh!! 🙏🙏
Hivyo tumemchukua akitokea timu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vital'OOooh!! 🙏🙏
Hivyo tumemchukua akitokea timu gani?
Labda awe na majeruhi tu,ila kwa ligi yetu atacheza tuMtani nadhani ipo haja ya kujua pia hivi vitu mana hiyo age yake. Mmmmh.
Inanitia shaka.
Kwa wastani wa magoli km forward hkn MTU, ila km mchezaji atasaidiaMtani nadhani ipo haja ya kujua pia hivi vitu mana hiyo age yake. Mmmmh.
Inanitia shaka.
Maana yake alikuja Vital'O kumalizia kazi ya kucheza, baati nzuri akapata timu mpya ya wachezaji vijana wanaovunjiwa mikatabaHuyu mchezaji amecheza Ligue one ufaransa,Uholanzi pia na nchi kadhaa,then akarudi Burundi kujiunga na Vital O ,inasemekana kocha ndiye alimpendekeza
Pole Mtani. Nisamehe bure.Mmesajiri kwa bure, huyo analipwa mshahara tu, ila anaweza kuleta impact
Sorry nimejibu Ingawa huku nitag
Tunaombea iwe hivyo aisee mana kwa timu yetu nadhani huyu ni katika wale wachache wenye umri mkubwa.Labda awe na majeruhi tu,ila kwa ligi yetu atacheza tu
Nadhani dirisha la ndani limefungwa hadi December - JanuaryPole Mtani. Nisamehe bure.
Japo nimesikia hawezi kucheza mechi za VPL kwa sasa ni kwa nini?
Oooh!! Kwa mana hiyo hajasajiliwa kwa dau lolote?Kwa wastani wa magoli km forward hkn MTU, ila km mchezaji atasaidia
Uzuri ni free agent huyo jamaa
Yeah nikweli ndiyo maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja tuTunaombea iwe hivyo aisee mana kwa timu yetu nadhani huyu ni katika wale wachache wenye umri mkubwa.
Ndo kusema na huyu ushamfukua details zake huko Mtani? 😳Maana yake alikuja Vital'O kumalizia kazi ya kucheza, baati nzuri akapata timu mpya ya wachezaji vijana wanaovunjiwa mikataba
Ni free agent ,mtani huyo ,hkn dau ,labda ile signing fee asimwage wino bureOooh!! Kwa mana hiyo hajasajiliwa kwa dau lolote?
Kama ni hivyo sio mbaya.
Ooh!! Kwa hiyo likifunguliwa ndio atakuwa rasmi kucheza mechi za ligi?Nadhani dirisha la ndani limefungwa hadi December - January
Hahahaha, mtani wewe huwa uchimbi chimbi hawa players vzr ? Ukiona mchezaji yuko timu za kariako basi mfuatilie utajuaNdo kusema na huyu ushamfukua details zake huko Mtani? 😳
Sawa Mtani. 🙏Ni free agent ,mtani huyo ,hkn dau ,labda ile signing fee asimwage wino bure
Kwa Tanzania kila kitu kinawezekanaOoh!! Kwa hiyo likifunguliwa ndio atakuwa rasmi kucheza mechi za ligi?
Mi ka huyu ndo nimemuona mida hii hata sijawahi kumuona cha zaidi naona wanaandika tu kaifunga Taifa Stars na mechi yenyewe ya Stars hata sikuangalia. LolHahahaha, mtani wewe huwa uchimbi chimbi hawa players vzr ? Ukiona mchezaji yuko timu za kariako basi mfuatilie utajua
😂😂😂 lolKwa Tanzania kila kitu kinawezekana
Haya Mkuu tumsubiri tuone huenda akafanya kitu na yeye.Yeah nikweli ndiyo maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja tu
Hahahaha, striker wa ulaya huyo mtaniMi ka huyu ndo nimemuona mida hii hata sijawahi kumuona cha zaidi naona wanaandika tu kaifunga Taifa Stars na mechi yenyewe ya Stars hata sikuangalia. Lol
Inabidi niende huko mitandaoni nikamchimbe.
Yeah tusubilie akijiunga na timu,pia inaongeza changamoto ya ushindani kwa wachezaji kwenye eneo lake kila mtu anapambana kufanya vema ili acheze na inakuwa faida kwa timuHaya Mkuu tumsubiri tuone huenda akafanya kitu na yeye.