Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahaha,yuko vzr
20201013_131841.jpg
 
SAID NTIBAZONKIZA

URAIA:BURUNDI

UMRI :33

NAFASI : WINGA

Vital'O 2003 - 2005

NEC 2006–2010

Cracovia 2010–2014

Akhisar Belediyespor 2014–2015

Caen 2015–2016

Caen B 2015

Kaysar Kyzylorda 2017

Vital'O 2019
OK vzr safi sana, ingawa kapita kote huko ila takwimu ya magoli bado haitishi ...ila haina maana eti hapa ktk vpl anaweza kuchemka sidhani
 
Nimetoka kapa leo Wanajangwani wenzangu sijaelewa juu ya huyu jamaa. [emoji848]

Mgagaa na Upwa
Injili ya Gheto
kidunula1
Chikwuemeka
babu na mjukuu
bullar
kyata
Pweza Boy
kishumbaz

Na wengineo wengi.
Atakachotusaidia huyu ni experience aliyo nayo mana ni mchezaji aliyecheza ktk level ya juu ya ushindani. Kucheza ligue 1 ya ufaransa na Eravidise ya uholanzi si mchezo. Bado Naamini atatupa kitu kikubwa japo umri wake ni miaka 33. Kama kina Mzee kagere bado wanasumbua huyu atashindwa nini? Na ninahisi pengine ni maagizo ya kocha mpya mtarajiwa (Kaze Cedric)
 
Duuh!! Kumbe kapita pita kwenye ligi kubwa pia.
 
Back
Top Bottom