Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kuna picha moja nimeona amewahi cheza na PSG kama sikosei. Lol.Hahahaha, striker wa ulaya huyo mtani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna picha moja nimeona amewahi cheza na PSG kama sikosei. Lol.Hahahaha, striker wa ulaya huyo mtani
Hahahaha,yuko vzrKuna picha moja nimeona amewahi cheza na PSG kama sikosei. Lol.
Hakika.Yeah tusubilie akijiunga na timu,pia inaongeza changamoto ya ushindani kwa wachezaji kwenye eneo lake kila mtu anapambana kufanya vema ili acheze na inakuwa faida kwa timu
Hahahaha,yuko vzr
Hadi video vipo, kacheza ufaransa
Naona CK alitoa pendekezo, kuwa jamaa hana timu, wamalizane nae hapo hapo Dar
Lol. Yabidi nikitulia nizicheck.Hadi video vipo, kacheza ufaransa
Sema ni bahati kwake kwani kwa Afrika Mashariki kuchezea Yanga nayo ni heshima kubwa hasa ukiangalia na jua limeshaanza kuzama.Naona CK alitoa pendekezo, kuwa jamaa hana timu, wamalizane nae hapo hapo Dar
OK vzr safi sana, ingawa kapita kote huko ila takwimu ya magoli bado haitishi ...ila haina maana eti hapa ktk vpl anaweza kuchemka sidhaniSAID NTIBAZONKIZA
URAIA:BURUNDI
UMRI :33
NAFASI : WINGA
Vital'O 2003 - 2005
NEC 2006–2010
Cracovia 2010–2014
Akhisar Belediyespor 2014–2015
Caen 2015–2016
Caen B 2015
Kaysar Kyzylorda 2017
Vital'O 2019
HahahahaSema ni bahati kwake kwani kwa Afrika Mashariki kuchezea Yanga nayo ni heshima kubwa hasa ukiangalia na jua limeshaanza kuzama.
Atakachotusaidia huyu ni experience aliyo nayo mana ni mchezaji aliyecheza ktk level ya juu ya ushindani. Kucheza ligue 1 ya ufaransa na Eravidise ya uholanzi si mchezo. Bado Naamini atatupa kitu kikubwa japo umri wake ni miaka 33. Kama kina Mzee kagere bado wanasumbua huyu atashindwa nini? Na ninahisi pengine ni maagizo ya kocha mpya mtarajiwa (Kaze Cedric)Nimetoka kapa leo Wanajangwani wenzangu sijaelewa juu ya huyu jamaa. [emoji848]
Mgagaa na Upwa
Injili ya Gheto
kidunula1
Chikwuemeka
babu na mjukuu
bullar
kyata
Pweza Boy
kishumbaz
Na wengineo wengi.
Amesajiliwa dirisha likiwa limefungwa so ataanza kucheza dirisha dogo litapofunguliwa kama sikosei ni mwezi ujao tarehe 15 hiviPole Mtani. Nisamehe bure.
Japo nimesikia hawezi kucheza mechi za VPL kwa sasa ni kwa nini?
Sema sijaelewa vema mana wanasema nafasi zake kuu wings ila ukimcheki humo you tube anaonekana anacheza central attacking midfielderOK vzr safi sana, ingawa kapita kote huko ila takwimu ya magoli bado haitishi ...ila haina maana eti hapa ktk vpl anaweza kuchemka sidhani
Duuh!! Kumbe kapita pita kwenye ligi kubwa pia.Atakachotusaidia huyu ni experience aliyo nayo mana ni mchezaji aliyecheza ktk level ya juu ya ushindani. Kucheza ligue 1 ya ufaransa na Eravidise ya uholanzi si mchezo. Bado Naamini atatupa kitu kikubwa japo umri wake ni miaka 33. Kama kina Mzee kagere bado wanasumbua huyu atashindwa nini? Na ninahisi pengine ni maagizo ya kocha mpya mtarajiwa (Kaze Cedric)
Nyie endeleeni tu na kukurupuka kwenu. Kila king'aacho si dhahabu ujue Shadeeya , huyo mtakuja kumporomoshea matusi nyie wenyeweNahitaji kueleweshwa zaidi kuhusu usajili wa huyu jamaa na background yake hatujapigwa hapa?
Chura FC bana😀😀😀