Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,575
- 25,619
KMC wameonyesha ushindani madhubuti. nawapongeza kwa hilo..Yaani hadi naona mapigo yangu yamoyo yanaenda kasi mbaya. 😂😂😂
kikosi cha yanga choye kimerudi nyuma kukaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KMC wameonyesha ushindani madhubuti. nawapongeza kwa hilo..Yaani hadi naona mapigo yangu yamoyo yanaenda kasi mbaya. 😂😂😂
Wanasemaga ukiwa nacho kitunze hivyo wacha tu tujae huko Mtani.KMC wameonyesha ushindani madhubuti. nawapongeza kwa hilo..
kikosi cha yanga choye kimerudi nyuma kukaba
kweli maana hii sub mliyoifanya dk ya 88 inadhihirisha hiloWanasemaga ukiwa nacho kitunze hivyo wacha tu tujae huko Mtani.
No way out Mtani hawa KMC ukiwaachia wanakomboa.kweli maana hii sub mliyoifanya dk ya 88 inadhihirisha hilo
NipoKumbe upo?
Nakusalimia Ntani.
Ooh. Sawa Mtani.Nipo
Siasa kidogo imepita nami, si unajua dakika za lala salama hizi, tunapambania chama la wana (TL&Maalim) mambo mengi mda mchache
baada ya hili kupita tutarud kama kawa
Heeee! Maneno ya kisiasa ni yapi hapo Mkuu?Huyo Waziri anatakiwa afungiwe kwa kitendo cha kuonyesha nguo ya ndani yenye maneno ya kisiasa
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Hongera kwa ushindi wa Rose Muhando. (nibebe)😝😝👏👏👏
Wanaoumia ni wale mbumbumbu was MooTimu yenyewe mbovu