Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani pale alipaswa kutupa bao la 2 ujue.Yacouba [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo magoli 3 Yawazi kabisa alitakiwa kufungaYaani pale alipaswa kutupa bao la 2 ujue.
Kafanyaje?Alli kamwe
😂😂😂 lol.Mimi sikuachi pale [emoji23][emoji23][emoji23]
Namkubali Sana akichambua hasa tukiwa tumeshinda Kama hivi....Kafanyaje?
Msimamo Wa VPL usiku wale Scores Bord plz
Ingekuwa YANGA imefungwa ingeletwa faster, kwa matokeo haya watajifanya wanapotezea, Hawa ni wale majirani wa pale pilikapika nyingi.Msimamo Wa VPL usiku wale Scores Bord plz
[emoji23][emoji23][emoji23] ivi wanaofanya Edting ni Azam Media au??Ingekuwa YANGA imefungwa ingeletwa faster, kwa matokeo haya watajifanya wanapotezea, Hawa ni wale majirani wa pale pilikapika nyingi.
Ni Azam tv, unajua hata azam tv 90% ni mashabiki wa Simba, leo YANGA imecheza na timu Mbili Azam fc na Simba fc.[emoji23][emoji23][emoji23] ivi wanaofanya Edting ni Azam Media au??
Yap nafahamu iloNi Azam tv, unajua hata azam tv 90% ni mashabiki wa Simba, leo YANGA imecheza na timu Mbili Azam fc na Simba fc.