Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20201229_160711.jpg
 
Hivi na Carlinhos yupogo wapi jamani , au ndio Soka la Tanzania lishamshinda? 🤔

Mana juzi Kocha alipokuwa anataja wachezaji wagonjwa wala hakumtaja zaidi ya Seido, Sogne na Kabwili.
 
Hivi na Carlinhos yupogo wapi jamani , au ndio Soka la Tanzania lishamshinda? [emoji848]

Mana juzi Kocha alipokuwa anataja wachezaji wagonjwa wala hakumtaja zaidi ya Seido, Sogne na Kabwili.
Alivunjwa nyonga na Wema Sepetu
Ko nyonga la mapenzi halihesabiki
Kama ni injury wa uwanjani ndo mana
Hakumtaja
 
Back
Top Bottom