Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ukisema Platinum ni timu mbovu wamefungwa Goli 4 ,Inabidi ujiulize wewe timu yako haijawahi kufungwa Goli 4 na Simba??
 
Ukisema Platinum ni timu mbovu wamefungwa Goli 4 ,Inabidi ujiulize wewe timu yako haijawahi kufungwa Goli 4 na Simba??
Liver aligongwa 7-2 na Astonvilla, he tuseme Liverpool ni timu mbovu? Vivyo hivyo Man u kapokea kichapo Cha 6-1 toka kwa Tot Spurs, je ndiyo tuseme Man u hawajui na Spur wako POA? Mpira ni mchezo wa makosa, hata Jana siyo kwamba platinum wamecheza vibaya no Ni makoasa madogo madogo tu wamejikuta ktk Hali ile. Some na bahati pia uchangia.
 
Hahahaaa. Usiku baada ya mechi ndio unasema upo. Lol

Saa ya mechi ndo kusema ulikuwa site eee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumesha wapatia nafasi ya kushiriki Champions league next season , habari ya kila msimu mnapigwa round ya kwanza hatutaki
IMG-20210106-WA0036.jpg
 
Back
Top Bottom