Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Tutabaki. Teh teh.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Sisi mashabiki wa platinum tutarudi Zimbabwe au tutabaki .?
Ila Daah!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutabaki. Teh teh.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Sisi mashabiki wa platinum tutarudi Zimbabwe au tutabaki .?
😂😂😂😂Mlianza plateau mkahamia platinum
Sasa mnaenda timu gani?
Usisahau wana ile mbinu yao ya kupulizia manukato kwenye vyumba vya kubadilishia vya wageniMTANI TUNYANYASEEEEEEEE. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo Mtani ila ndo uache kuadimika.
Shabiki maandazi endelea kuteseka mnyama anasonga mbele.Usisahau wana ile mbinu yao ya kupulizia manukato kwenye vyumba vya kubadilishia vya wageni
Achana nayo. INATESEKA KWELShabiki maandazi endelea kuteseka mnyama anasonga mbele.
Mkuu nimerudi Mimi sina hiyana; mnyama yupo kukutengenezea ili mwakani nawe ukwae angani na mweweWewe endelea na ndoto yako, ukiona haijatimia urudi ukalale.
This is Simbaaaaa 💪Ila nimewakubali Mtani. 👌👌👌
👏👏👏👏
Nadhani umeniona, nipo sana tuJumatano uwepo usikimbie. 😂😂😂
Chauoga huyo. 😂😂This is Simbaaaaa 💪
Hahahaaa. Usiku baada ya mechi ndio unasema upo. LolNadhani umeniona, nipo sana tu
Nilikuwa site, nimerudi usikuuu 😁😁😁Hahahaaa. Usiku baada ya mechi ndio unasema upo. Lol
Saa ya mechi ndo kusema ulikuwa site eee? 😂😂😂
Liver aligongwa 7-2 na Astonvilla, he tuseme Liverpool ni timu mbovu? Vivyo hivyo Man u kapokea kichapo Cha 6-1 toka kwa Tot Spurs, je ndiyo tuseme Man u hawajui na Spur wako POA? Mpira ni mchezo wa makosa, hata Jana siyo kwamba platinum wamecheza vibaya no Ni makoasa madogo madogo tu wamejikuta ktk Hali ile. Some na bahati pia uchangia.Ukisema Platinum ni timu mbovu wamefungwa Goli 4 ,Inabidi ujiulize wewe timu yako haijawahi kufungwa Goli 4 na Simba??
Tumesha wapatia nafasi ya kushiriki Champions league next season , habari ya kila msimu mnapigwa round ya kwanza hatutakiHahahaaa. Usiku baada ya mechi ndio unasema upo. Lol
Saa ya mechi ndo kusema ulikuwa site eee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo nafasi mmejitafutia wenyewe Manyau fc, maana sisi Young African Sc ndiyo mabingwa vpl 2020-2021, Kama unabisha we mchawi.Tumesha wapatia nafasi ya kushiriki Champions league next season , habari ya kila msimu mnapigwa round ya kwanza hatutakiView attachment 1670769
Tunawapa nafasi kubwa kuwa Wa pili kutokana na kusuasua kwa Azam. Hivyo mmejitahidi kujitaftia nafasi yenuTumesha wapatia nafasi ya kushiriki Champions league next season , habari ya kila msimu mnapigwa round ya kwanza hatutakiView attachment 1670769