Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Amka ndotoni weweSiku mkija shituka , Simba ina ubingwa wa Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka ndotoni weweSiku mkija shituka , Simba ina ubingwa wa Africa
Mtani kwani hukumsikia yule roporopo wenu alisema kama una haya mawazo basi jifunike shuka ulale gubigubi kwani ni kitu ambacho hakiwezekani. 😅Siku mkija shituka , Simba ina ubingwa wa Africa
Hesabu zetu ugumu ni kwa Al Ahly tu.Nyie ndio huwa mnajinyonga
Akishituka hizo nafasi wanazozitengeneza za timu nne wao wanaenda kama mshindi wa pili. Teh.Amka ndotoni wewe
Kwa mara ya kwanza nimekuchekesha leo. LolDah!!! Nimecheka sana, Eti kama mshindi wa pili....Hahahahahahahahah.