Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

WAKATI MWINGINE INASIKITISHA SANA

Ditram nchimbi alisajiliwa baada ya kuifunga yanga goli 3 katika mechi moja msimu wa 2019/2020 alimaliza msimu na goli 6 tu

Mara ya mwisho mshambuliaji huyu kuifungia timu yake katika ligi n February mwaka Jana

Maana yake ana mwaka mmoja hajawah funga goli katika ligi lakn ndyo mshambuliaji tegemeo wa wa yanga ana miez 12 hajafumania nyavu
Nchimbi sio tegemeo, na tangu kaze alipowasili hata game time yake imekuwa ndogo sana mkuu
 
Umese
Mwambusi angemsaidia nini pale?, wachezaj wamepambana na nafasi wametengeneza, shida walikosa bahati ya kufunga

Kingine wabongo mjifunze ku wapa sifa wapinzani wenu wanapocheza vizuri. Mbeya City wamepambana
Umesema vizuri Sana!! Ustaarabu katika soka ni pamoja na kutoa sifa ya dhati kwa mpinzani wako
Anapocheza vizuri. Mbeya city leo wamecheza vizuri kwa nidhamu kubwa!! Lakini kwa utamaduni wa Jangwani, tunasikia " wamebebwa"!! Utafikiri timu ya "wananchi" (wananchi wa Jangwani) haijawahi kushinda kwa penati!! Badilikeni!
 
Tubadilike nini mkuu? Sisi yanga fans waelewa Sana

Shida ni nyinyi na wachambuzi wenu, Yanga au Simba wakifungwa utasikia hawakuwa better/ hawakucheza vizuri as if team nyingine huwa zinajiandaa kufungwa tu zikikutana na Simba au Yanga
 
Duuh
Unajua mpira sijaangalia , nimekuja shtuka dk ya 70 huko

Lakn mzee baba , bila kupewa nafasi ataingiaje kwenye timu labda kwenye mazoez kafanya vyema
Hatukatai ila aingie sub......bora wacheze tu wenyeji maana sikiona cha maana alochofanya kwa dk zote huyo fiston.....ameongeza mzigo kwenye timu.....maybe baadaye ila apishe wengine tu aingie timu imeshapata matokeo maana si wa kumtegemea
 
Kwan simba mna guarantee ya kushinda game zenu zote mkuu? Kumbuka ligi Ina team 18 na ni team 4 zinashuka.. Huu mzunguko wa pili ni afadhali ukutane na Azam, Namungo, Biashara etc kuliko kukutana na ihefu
Mngekuwa.mnajua hayo msingejitangazia ubingwq kabla ligi haijaisha
 
Kweli kabisa. Naona Kocha analeta Utaifa sio bure kwani Fiston bado aisee.

Mie siku sio nyingi ntaliita garasa nalo. Teh.
Bahati nzuri nimemuangalia live hapa Sokoine game imenikuta hapa,ktk harakati za ubingwa atatuangusha
 
Hatukatai ila aingie sub......bora wacheze tu wenyeji maana sikiona cha maana alochofanya kwa dk zote huyo fiston.....ameongeza mzigo kwenye timu.....maybe baadaye ila apishe wengine tu aingie timu imeshapata matokeo maana si wa kumtegemea
Si walisema hakabiki imekuwaje tena
 
Mwambusi angemsaidia nini pale?, wachezaj wamepambana na nafasi wametengeneza, shida walikosa bahati ya kufunga

Kingine wabongo mjifunze ku wapa sifa wapinzani wenu wanapocheza vizuri. Mbeya City wamepambana
Kama unatengeneza nafasi hawafungi si unafanya sub? Mwambusi ni senior kwa yule dogo.....angeweza kumshauri vizuri zaidi hilo huwezi kubisha,yule bado ni junior sana ni ndiyo mzee tu.........

Then,naangalia weakness za Yanga kwa nilichokiona mpaka hao MCC wakawa kama unavyosema wamepambana
 
I hope you will keep the same energy pindi atakapo anza kushnda game after game
 
Back
Top Bottom