uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Molinga yuko mbali sana kwa huyu garasaFiston ni molinga mwembamba aliyechangamka Mkuu, kwani Ulikuwa hulijui hili mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Molinga yuko mbali sana kwa huyu garasaFiston ni molinga mwembamba aliyechangamka Mkuu, kwani Ulikuwa hulijui hili mkuu?
Hawa wamepoteza hadhi ya kuwa watani wetu!! Watani saizi yao kwa ssa ni mbeya city!!Pole mtani, ulikuwa umeshapata nafuu, mara penati 😂
Hivi wote hawa ni sick?Saido?
Yacouba?
Carlinhos?
Haruna?
Hivi Yanga tuna daktari au nurse
Carlinhos na Saido wao Kila siku hawana fitness, Yacouba na Haruna haijulikani anaumw niniHivi wote hawa ni sick?
Mbona walionekana mazoezini na wanapiga tizi kama kawaida?
Nchimbi sio tegemeo, na tangu kaze alipowasili hata game time yake imekuwa ndogo sana mkuuWAKATI MWINGINE INASIKITISHA SANA
Ditram nchimbi alisajiliwa baada ya kuifunga yanga goli 3 katika mechi moja msimu wa 2019/2020 alimaliza msimu na goli 6 tu
Mara ya mwisho mshambuliaji huyu kuifungia timu yake katika ligi n February mwaka Jana
Maana yake ana mwaka mmoja hajawah funga goli katika ligi lakn ndyo mshambuliaji tegemeo wa wa yanga ana miez 12 hajafumania nyavu
Umesema vizuri Sana!! Ustaarabu katika soka ni pamoja na kutoa sifa ya dhati kwa mpinzani wakoMwambusi angemsaidia nini pale?, wachezaj wamepambana na nafasi wametengeneza, shida walikosa bahati ya kufunga
Kingine wabongo mjifunze ku wapa sifa wapinzani wenu wanapocheza vizuri. Mbeya City wamepambana
Ni yale yale! Timu isiyojua kuheshimu timu pinzani! Ukweli ni kuwa mbeya city wamecheza vizuri na kwa nidhamu full stop!!.Kwenye hii match fiston na kocha wake wameuza kabisa
Tubadilike nini mkuu? Sisi yanga fans waelewa SanaUmese
Umesema vizuri Sana!! Ustaarabu katika soka ni pamoja na kutoa sifa ya dhati kwa mpinzani wako
Anapocheza vizuri. Mbeya city leo wamecheza vizuri kwa nidhamu kubwa!! Lakini kwa utamaduni wa Jangwani, tunasikia " wamebebwa"!! Utafikiri timu ya "wananchi" (wananchi wa Jangwani) haijawahi kushinda kwa penati!! Badilikeni!
Hatukatai ila aingie sub......bora wacheze tu wenyeji maana sikiona cha maana alochofanya kwa dk zote huyo fiston.....ameongeza mzigo kwenye timu.....maybe baadaye ila apishe wengine tu aingie timu imeshapata matokeo maana si wa kumtegemeaDuuh
Unajua mpira sijaangalia , nimekuja shtuka dk ya 70 huko
Lakn mzee baba , bila kupewa nafasi ataingiaje kwenye timu labda kwenye mazoez kafanya vyema
Mngekuwa.mnajua hayo msingejitangazia ubingwq kabla ligi haijaishaKwan simba mna guarantee ya kushinda game zenu zote mkuu? Kumbuka ligi Ina team 18 na ni team 4 zinashuka.. Huu mzunguko wa pili ni afadhali ukutane na Azam, Namungo, Biashara etc kuliko kukutana na ihefu
Bahati nzuri nimemuangalia live hapa Sokoine game imenikuta hapa,ktk harakati za ubingwa atatuangushaKweli kabisa. Naona Kocha analeta Utaifa sio bure kwani Fiston bado aisee.
Mie siku sio nyingi ntaliita garasa nalo. Teh.
Si walisema hakabiki imekuwaje tenaHatukatai ila aingie sub......bora wacheze tu wenyeji maana sikiona cha maana alochofanya kwa dk zote huyo fiston.....ameongeza mzigo kwenye timu.....maybe baadaye ila apishe wengine tu aingie timu imeshapata matokeo maana si wa kumtegemea
Kama unatengeneza nafasi hawafungi si unafanya sub? Mwambusi ni senior kwa yule dogo.....angeweza kumshauri vizuri zaidi hilo huwezi kubisha,yule bado ni junior sana ni ndiyo mzee tu.........Mwambusi angemsaidia nini pale?, wachezaj wamepambana na nafasi wametengeneza, shida walikosa bahati ya kufunga
Kingine wabongo mjifunze ku wapa sifa wapinzani wenu wanapocheza vizuri. Mbeya City wamepambana
Nani hao?Si walisema hakabiki imekuwaje tena
FistonNani hao?
Unakataje tamaa na mnaongoza leagueAcha kabisa. Mie nilishajikatia tamaa.
Waliosema hayo ndiyo uwalete hapaFiston
Swala la ubingwa ni constant kwetu, Hilo halina mjadalaMngekuwa.mnajua hayo msingejitangazia ubingwq kabla ligi haijaisha
I hope you will keep the same energy pindi atakapo anza kushnda game after gameKama unatengeneza nafasi hawafungi si unafanya sub? Mwambusi ni senior kwa yule dogo.....angeweza kumshauri vizuri zaidi hilo huwezi kubisha,yule bado ni junior sana ni ndiyo mzee tu.........
Then,naangalia weakness za Yanga kwa nilichokiona mpaka hao MCC wakawa kama unavyosema wamepambana