Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kwanza kacheza mpira mbovu sana...aonyeshwe tu njia yakutokeaNenda ukawe kocha wewe umchezeshe..,..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kacheza mpira mbovu sana...aonyeshwe tu njia yakutokeaNenda ukawe kocha wewe umchezeshe..,..
Kama ujui ujui tuHiyo penalty ina tofauti gani na tuliopigiwa kule mbeya, game mbili marefa wamechukua point 4 zetu
Hili jasho analotoka Kocha veepe. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unateseka ukiwa wapi? 😂😂😂Kocha anambania sana Niyonzima
Aisee!!Hiyo penalty ina tofauti gani na tuliopigiwa kule mbeya, game mbili marefa wamechukua point 4 zetu
Bado kuamini hii kauli nasema bado.Analia nini???? Ligi imeisha leo kwa Yanga Mama hamna chenu tena.
Finished player Mkuu hakuna mchezaji pale.Kwanza kacheza mpira mbovu sana...aonyeshwe tu njia yakutokea
Halafu si mara ya kwanza hata game ya juzi na Mbeya City Kocha ndo alituuza tena.Kaze aache rotation za kijinga, Bruno msimu huu pale United anacheza hadi friends match.. tukitoa makando kando yote na yeye kachangia hii game kuisha hv kwa kupanga kwake kikosi Cha kwanza cha kipuuzi
Hata United ni yanga tu ila wao wamechangamka.Kaze aache rotation za kijinga, Bruno msimu huu pale United anacheza hadi friends match.. tukitoa makando kando yote na yeye kachangia hii game kuisha hv kwa kupanga kwake kikosi Cha kwanza cha kipuuzi
Hahahaaa. Mtani naona mmekuja kwa kasi ya 4G. Lol."MUWA ULIZAMISHA MELI"
Ni kosa la kiufundi kwa team kubwa kama Yanga kuruhusu goli 3 kisha kutegemea huruma ya mwamuzi. Penalty haitolewi kienyeji kwa hisia kuwa mtu kanawa(Ball to hand na Hand to Ball, itategemea mwamuzi kaonaje na wasaidizi wake)Hiyo penalty ina tofauti gani na tuliopigiwa kule mbeya, game mbili marefa wamechukua point 4 zetu
Hili jasho analotoka Kocha veepe.
Timu kaiharibu kwa kuanzisha wachezaji wasioeleweka sasa anatoka jasho la kazi gani. Mmmxxxiiieww.
Hakuna siku tuliocheza mpira mzuri hata hizo mechi tulizoshinda ni kwa mbinde sana ushindi wa tabu mnoooKwanza kacheza mpira mbovu sana...aonyeshwe tu njia yakutokea