Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kikosi cha timu ya Wananchi kilishatua kwa Mkapa.
20210508_165445.jpg
 
Kumbe we Mikia. [emoji854][emoji854]

Hivyo ulikuwa unataka tujumuike wapi wakati kila mmoja alikuwa anaenda kukaa upande wake?
Japo shabiki wa mikia, ila leo ningekaa upande wenu nione busara zako mommy, si unajua sie n watani tyuuh.
 
Angalizo kwa UTOPOLO!!!
Wahakikishe tuu wamefata taratibu zote za kugomea mechi!!
Sio badae wakutwe kuna kipengele wamekikiuka tukaanza kutafuta mchawi nani!!!
[emoji2315]
 
Ameandika Haji Manara

BUNGE LIINGILIE KATI SAKATA LA MECHI YA LEO BAINA YA SIMBA NA YANGA

Kabla ya jambo lolote lile kuendelea iundwe Kamati ya kibunge ijiridhishe kuhusu jambo liliotokea leo,ambalo limeacha maumivu makubwa Kwa Washabiki wa soka nchini zaidi ya elfu arobaini ambao walishalipa viingilio vyao ili kuangalia mechi hyo, lakini pia liliochafua taswira ya nchi kimataifa ukizingatia nchi nyingi za Afrika zilikuwa zimejiandaa kuangalia game hii!!
Baadhi ya hadidu rejea za tume hyo huru ziwe hz!!

Nn kilisababisha mechi hii kusogezwa mbele Kwa masaa mawili?

Why game Yanga na Azam pamoja Yanga na Biashara Mara ambazo nazo zilisogezwa mbele masaa mawili zilichezwa ila hii ya leo imeshindikana kuchezwa?

Uwazi wa kile kilichosababisha mechi isogezwe mbele Kwa masaa mawili na kwa nn Yanga muda mchache baada ya taarifa hyo kutolewa walitoa taarifa ya kuonyesha kutaka kugomea hyo mechi?
Je kwa nn ugomeaji huu uwe leo na usiwe ktk mechi za Azam au Biashara?

Na kama Serikali ilikuwa na sababu za msingi za kusogeza mbele muda wa mechi Kisha kuiarifu TFF (@tanfootball) na Shirikisho hilo kuviandikia vilabu vyote barua,,Kwa nn Yanga pekee wagomee? Na kama wamegomea why Simba haikupewa ushindi?

Je hakukuwa na mbinu ya makusudi ya kuhairisha hii mechi?
Kama ilikuwepo nn kitaendelea?

Nani atalipa gharama ambazo klabu zimeingia kujiandaa na mechi hii na nani atalipia gharama za Watanzania waliolipa viingilio vyao sambamba na gharama kwa wale waliotoka nje ya Dar?

Hil jambo lisichukuliwe kirahisi rahisi maana limeacha maswali mengi ambayo Watanzania waliolipa viingilio vyao na wale walionunua vifurushi vya azamtvtz wanapaswa kujua, lakini pia limeitia doa ligi yetu ambayo kwenye siku za Karibuni imekuwa maarufu kote barani Afrika.

@bunge.tanzania la watu linao wajibu wa kusimamia kero za watu kama hz za leo,,,ni wao pekee kwa sasa wanaweza kuja na majawabu sahihi juu ya kadhia hii iliyowaumiza Watanzania wengi.

@bunge.tanzania
 
Hivi jaman hii nchi mnaijua au mnaisikia tu??.. tujiulize tu order ya kuhairishwa gem imetoka wapi kwanza? Sio kuwalaumu tff na wizara!
... hawa nao huwa wanapokea maagizo somegime yanakuwa yapo nje wa uwezo wao!.. kinachoendelea hapa hii ngoma itafunikwa tu na hakuna atakayewajibishwa na kuhakikisha hili ndomaana gemu imehairishwa kirahisi mno. Haya mambo kwa nchi zetu za afrika ni kawaida sana. Filikia tu kuna jamaa kasaga mguu toka kigoma hadi dar. Watu wmetoka zambia hadi bongo leo hii watu hawa unawaambia gemu hakuna hadi sikunyingine what a shame?? Huu ni ujinga uliopitiliza....
 
Back
Top Bottom