Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile maneno za kwamba tumewakimbia hazipo tena. 😂😂Tukisema mechi ichezwe saa 11 jioni muwe mnaelewaga basiView attachment 1839043
Wanatamani leo wangekimbia wao kenge hawa[emoji1787]Zile maneno za kwamba tumewakimbia hazipo tena. [emoji23][emoji23]
Hongera SanaZile maneno za kwamba tumewakimbia hazipo tena. [emoji23][emoji23]
😂😂Wanatamani leo wangekimbia wao kenge hawa[emoji1787]
Halafu sijui wakimuona Rais jukwaani wanakuwa na kaugonjwa gani. 😂😂😂Wanatamani leo wangekimbia wao kenge hawa[emoji1787]
Nimezipokea Mtani. 🙏Hongera Sana
Mechi ijayo akialikwa raisi wa aina yoyote lazma wagomee mechi hawa[emoji125][emoji125][emoji125]Halafu sijui wakimuona Rais jukwaani wanakuwa na kaugonjwa gani. [emoji23][emoji23][emoji23]
🙏🙏🙏🙏Hongereni wananchi kwa ushindi. 💪💪💪
[emoji6]Hongereni wananchi kwa ushindi. [emoji123][emoji123][emoji123]
Hahahaaaa. Naziona kila dalili. 😂😂😂Mechi ijayo akialikwa raisi wa aina yoyote lazma wagomee mechi hawa[emoji125][emoji125][emoji125]
Hongera kwa ushindi Shadeeya mmeonesha mchezo mzuri, hakika mmestahili ushindi.Wera izi biriani. 😀😀😀