Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Mchawi wa usajili Yanga ni GSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!! Tusubiri Habari kutoka Official Page zetu japo huenda ikawa kweli kwani kama nilimsikia Bumbuli anasema hii CECAFA Cup tutarajie kuona wachezaji wengi wapya ambao si ajabu wakawepo next season wakiitumikia Timu ya Wananchi.Hii nayo nimekutana nayo asubuhi hii sijui inatokea wapi na ukweli wake ni upi!View attachment 1876056
yikpe 😆😆 warudi wote ila iye abaki salama uko alikoBila kumsahau YIKPE. 😅😅😅😅
Aisee huyu jamaa alikuwa kimeo sana aisee yaani anaeza bakia na goli halafu akapaisha baada ya hapo sasa, anajilaumu mbaya. 😀😀yikpe 😆😆 warudi wote ila iye abaki salama uko aliko
Ila ndo ajifunze matimu haya usitegemee ukifanya baya eti yale mazuri yatafunika huwa haipo hiyo. 😅[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
weeeeeh nyavu gani 🤣🤣🤣 yikpe tunamjua vizuri hakuna nyavu yoyoteAisee huyu jamaa alikuwa kimeo sana aisee yaani anaeza bakia na goli halafu akapaisha baada ya hapo sasa, anajilaumu mbaya. 😀😀
Sema nilisikia kama huko alikoendaga alikuwa anafumania nyavu eti. 😀
Ha ha ha atakuwa alibahatisha mechi mbili tatu tu. Sidhani kama alizaliwa upya huyo jamaaAisee huyu jamaa alikuwa kimeo sana aisee yaani anaeza bakia na goli halafu akapaisha baada ya hapo sasa, anajilaumu mbaya. [emoji3][emoji3]
Sema nilisikia kama huko alikoendaga alikuwa anafumania nyavu eti. [emoji3]
Ha ha haweeeeeh nyavu gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yikpe tunamjua vizuri hakuna nyavu yoyote
Kivipi Mkuu?Mchawi wa usajili Yanga ni GSM
yikpe kama yikpeHa ha ha
Hahahaaaa. Lol.weeeeeh nyavu gani 🤣🤣🤣 yikpe tunamjua vizuri hakuna nyavu yoyote
Hahahaaaaa. Walidai eti Tizedi kuna misumari sana. 😅😅😅Ha ha ha atakuwa alibahatisha mechi mbili tatu tu. Sidhani kama alizaliwa upya huyo jamaa
Hawana uwezo wa kuleta wachezaji wazuri. Na hata wakipata wazuri, hao wazuri huishia kwa Simba. Kuna sintofahamu nyingi kuhusu usajiliKivipi Mkuu?
all in all tunagame leo??Hahahaaaa. Lol.
Mitandao hiyo Binamu. 😀
Ndioall in all tunagame leo??
game ya leo nataka nimuone kabwili amefikia wapNdio
Kweli in mechi nzuri sana ya kumtathimini!game ya leo nataka nimuone kabwili amefikia wap
daah balama aise ata akirudi atakuwa sie kakaa sana nje ya uwanja itakuwa kama mtoto ndio anaanza kujifunza mpiraHivi kweli Balama Mapinduzi ndio tushampoteza kiasi hicho? Yaani pamoja na kwenda sauzi lakininwapi! Hapo ndio tunapoanza kuamini hii inayoitwa Misumari!
Nadhani aka kaugonjwa kataisha Timu ya Wananchi ikija kufanya hayo mabadiliko.Hawana uwezo wa kuleta wachezaji wazuri. Na hata wakipata wazuri, hao wazuri huishia kwa Simba. Kuna sintofahamu nyingi kuhusu usajili