Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii nayo nimekutana nayo asubuhi hii sijui inatokea wapi na ukweli wake ni upi!View attachment 1876056
Duuh!! Tusubiri Habari kutoka Official Page zetu japo huenda ikawa kweli kwani kama nilimsikia Bumbuli anasema hii CECAFA Cup tutarajie kuona wachezaji wengi wapya ambao si ajabu wakawepo next season wakiitumikia Timu ya Wananchi.
 
yikpe 😆😆 warudi wote ila iye abaki salama uko aliko
Aisee huyu jamaa alikuwa kimeo sana aisee yaani anaeza bakia na goli halafu akapaisha baada ya hapo sasa, anajilaumu mbaya. 😀😀

Sema nilisikia kama huko alikoendaga alikuwa anafumania nyavu eti. 😀
 
Aisee huyu jamaa alikuwa kimeo sana aisee yaani anaeza bakia na goli halafu akapaisha baada ya hapo sasa, anajilaumu mbaya. 😀😀

Sema nilisikia kama huko alikoendaga alikuwa anafumania nyavu eti. 😀
weeeeeh nyavu gani 🤣🤣🤣 yikpe tunamjua vizuri hakuna nyavu yoyote
 
Aisee huyu jamaa alikuwa kimeo sana aisee yaani anaeza bakia na goli halafu akapaisha baada ya hapo sasa, anajilaumu mbaya. [emoji3][emoji3]

Sema nilisikia kama huko alikoendaga alikuwa anafumania nyavu eti. [emoji3]
Ha ha ha atakuwa alibahatisha mechi mbili tatu tu. Sidhani kama alizaliwa upya huyo jamaa
 
Hivi kweli Balama Mapinduzi ndio tushampoteza kiasi hicho? Yaani pamoja na kwenda sauzi lakininwapi! Hapo ndio tunapoanza kuamini hii inayoitwa Misumari!
 
Hivi kweli Balama Mapinduzi ndio tushampoteza kiasi hicho? Yaani pamoja na kwenda sauzi lakininwapi! Hapo ndio tunapoanza kuamini hii inayoitwa Misumari!
daah balama aise ata akirudi atakuwa sie kakaa sana nje ya uwanja itakuwa kama mtoto ndio anaanza kujifunza mpira
 
Hawana uwezo wa kuleta wachezaji wazuri. Na hata wakipata wazuri, hao wazuri huishia kwa Simba. Kuna sintofahamu nyingi kuhusu usajili
Nadhani aka kaugonjwa kataisha Timu ya Wananchi ikija kufanya hayo mabadiliko.

Japo hii kauli ya kwamba wakipata wazuri wanaishia kwenda Simba ndo kusema GSM ni Mamluki ama?
 
Back
Top Bottom