Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Labda group za pornoKwa usajili wetu msimu huu labda bahati tu isiwe upande wenu Ila sion mkishindwa fika group stage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda group za pornoKwa usajili wetu msimu huu labda bahati tu isiwe upande wenu Ila sion mkishindwa fika group stage
😂 😂Wanatambulishwa wachezaj kila uchao
VP SHABAN DJUMA atatambulishwa lini jaman siyo Eng Hersi SAID anatuhadaa jaman katuona ss mambumbumbu anaweza kufanya atakalo juu yetu?
,,,==Muda utaongea,^^^^^^^_^
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Akiwa mbovu jan tunambwaga 😂Hata na mie napata mashaka si ajabu akija akawa mtupu kabisa.
Nadhani ifikie hatua uongozi uende na wakati ulivyo sababu tunahitaji kusonga mbele na sio kurudi nyuma.
Hivi wewe una akili kweli? Unajua msimu huu Simba amesajili wachezaji wangapi?Viyu inavyofanya yanga kwenye usajili n vtu hufanywa na timu zetu za ndondo, kila msimu mnasajili wachezaji wapya kikosi kizima.
Dunia nzima hufanywa na Yanga na timu za Ndondo
Ni kweli kabisa nguvu hana.Akipiga gym ya maana kwa muda tu atakuwa hatari sana huyu Mana hadi sasa ni Fundi ila anatakiwa aongeze nguvu kidogo tu
Swahiba hivyo tunamtesti? 😀Akiwa mbovu jan tunambwaga 😂
Hizi picha kali. Lete nyingi zaidi.
Kipenseli Namkubali sana.KIPENSELI
View attachment 1894031
Ila Shem sijui kama amerecover kwa 100%?Kipenseli Namkubali sana.