Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Matokeo yatakuwa haya
Yanga 1- 0 rivers United
Na hili goli litapitakana kipindi Cha pili 65-80dkk...
Mauya, Yacoba au feisal Kati Yao atatingisha nyavu
Kila la kheri..
unasubiri mpaka unaona mwenendo wa game ndo unatabiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20210912-194346_Gallery.jpg
 
Mpira wa yanga ni mgumu sana kuuchambua.
Maana kila sehemu katika kikosi ni utopolo.
On target ni moja.[emoji23][emoji23] duh.
Poleeni watani.
 
𝗗𝗔𝗞𝗜𝗞𝗔 90 𝗭𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗜𝗦𝗛𝗔
:
Dakika 90 za kwanza Kocha Nasserdine Nabi amefeli kwenye Selection ya Team na kwenye SUB Alifeli kwa 95%
KIVIPI
••••••••
1. Adeyun Salehe:- Sijajua aliyependekeza kubaki kwake, hasitaili kuchezea Club yanga na Hakuna mjadala.
:
2. Zawadi Mauya:- Mpaka Dirisha linafungwa sijajua alibakia Yanga kufanya Nini! Anaidhalilisha Nembo ya Yanga anachokifanya ni upumbavu mtupu uwanjani, kama angekua na mkataba angerudi tu Kagera akazeekee kule.
:
3. Kocha naona kibarua kitamuozea mapema sana, Unamuachaje mtu kama Saido,Bangala,Kaseke wakae Benchi ilihali Timu inazidiwa??
:
4. Kibwana Shomari anataka kuiga Uchezaji wa Djuma Shabani, Kwanini usicheze kwa style yako uliyoizoea??
:
5. Sijajua Kinachomuweka Nje David Bryson mpaka Leo hii, kama hana Match fitness alisajiliwa ili atumike lini?? Madactari wanafanya kitu Gani mpaka Leo hii!!
Hakuna kitu wanachokosewa wanayanga kama mambo yanayoendelea sasa, Picking ya Coach inaanza kufeli mapema....
Team Kushinda ni Jukumu lenu na kulaumiwa hatuachi mpaka mjue Mmebeba furaha ya wananchi wangapi, Haiwezekani Mtu unalipwa vizuri, unakula vizuri, Unalala pazuri alafu unachofanya uwanjani ni Utumbo wa mbwa kabisa
:
Atakaesema Lawama za Nini kwanini tusiwalaumu wakati walisajiliwa waje waitumikie Team yetu kwa jasho na damu!
:
Atakaeleta Masihara naomba Uongozi usiwachekee ni kufukuza tu wakafanye shughuli walizozaliwa nazo
 
Aiseee umeongea kwa hisia kali mno.
 
Mkuu vip kuhusu yacouba
 
Back
Top Bottom