Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mazembe ni kubwa kuliko timu yoyote bongo,wametumia kosa moja tu la Manula wakapata goli,nyinyi Uto mmecheza na madogo wa Nigeria wamefanya makosa 50 hamjapata hata goli moja.
Tusubiri jumamosi baada ya mechi Najua wabongo hamtakosa visababu tena vya hovyo hovyo mkipigwa hamkosi kusema mmerogwa au mechi imeuzwa n.k Ukweli ni kwamba ukichambua uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kwa kila timu majibu unayapata na ukiiangalia Simba ya msimu uliopita na ya Sasa Kuna tofauti kubwa hata Yanga wamefanya mabadiliko kwenye maeneo yaliyokuwa na Mapungufu Huwezi kumfananisha Sarpong na Makambo au Mayele hata kidogo,safu ya ushambuliaji ya Yanga ya msimu huu ni bora kuliko misimu minne iliyopita na ukiiangalia viungo wakabaji pale Kuna ingizo la Aucho vilevile Kuna Bangala Litombo anaweza kucheza kama beki wa kati ama pembeni au akacheza kama kiungo mkabaji au mshambuliaji kwa upande mwingine Kuna beki mapafu ya farasi anapanda na kushuka uwezo wake ni mkubwa hapa bongo hakuna kama yeye si mwingine ni Djuma Shabani.Kwa maingizo ya wachezaji hao tegemea Yanga itakuwa Moto wa kuotea mbali Jumamosi,mechi hiyo hakuna Nchimbi wala Mauya .Nenda Simba Sasa Wawa,Onyango,Kapombe,Tshabalala,Lwanga,Mugalu,Boko,Kagere n.k wachezaji hawa wa msimu uliopita uwezo wao unafaamika sana walikuwa wanamtegemea sana Chama na Luis,Leo hawapo Tafakari itakuwaje ingawaje Kuna maingizo mapya,swali je hayo maingizo mapya yako vizuri kiuwezo kama Chama na Luis? Majibu tutayapata jumamosi

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Safu ya ushambuliaji ya Yanga pamoja na kiungo wameshindwa kupambana kupata hata goli moja kwenye michuano ya cafcl,labda unahisi tatizo linaweza kuwa nini?
 
Hebu ifikie hatua Klabu ituthamini walau kwa kutwaa ubingwa wa VPL basi. 🙃🙃
20210923_094643.jpg
 
Wakuu kaze sina imani nae, naona bora tumchukue Minziro mwanayanga mwenzetu awe msaidizi.
Ana cv nzuri sana, kashazipandisha team kadhaa ligi kuu.
 
Uhitaji wa Kaze ulizingatia pia uhitaji wa Language Bareer iliyopo kati ya Kocha Nabi na Wachezaji. Kumbuka nabi sio mzungumzaji mzuri wa Kiswahili wala Kiingereza, bali ni mtumiaji mkubwa wa Kifaransa & Kiarabu.

Kaze anazungumza vyema Kifaransa hivyo ni rahisi kuelewana na Nabi na kufukisha vyema matakwa ya Nabi kwa Vijana.

Minziro anazungumza Lugha Ipi tofauti na Kiswahili?
 
Back
Top Bottom