Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Bora tumrudishe Mkwasa awe kocha mkuu anaongea vizuri Kienglish na Kiswahili Nchimbi atamuelewa vizuri.Kaze na Nabi hawafai.
 
Ujue nini sasa wakati kocha Nabi keshasema miezi mitatu ndo muunganiko utapatikana,au hufatilii habari zenu Ammi J?
Ndiyo maana Rage aliwaita mashabiki wa Simba SC Mambumbumbu .Umeshindwa kusoma,kuelewa na kutafakari kilichoandikwa.Aidha siyo lazima kila kulichoandikwa ukijibu au ukitilee ufafanuzi wakati hukielewi.[emoji2958][emoji2958][emoji2958]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mumeingia cha Kike...Waaaaa

1632435669224.png
 
Ndiyo maana Rage aliwaita mashabiki wa Simba SC Mambumbumbu .Umeshindwa kusoma,kuelewa na kutafakari kilichoandikwa.Aidha siyo lazima kila kulichoandikwa ukijibu au ukitilee ufafanuzi wakati hukielewi.[emoji2958][emoji2958][emoji2958]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Wewe ni shabiki wa Uto mitandaoni tu ila kiuhalisia ufatilii mambo ya michezo hasa timu lako bovu,ndo maana umepwaya sana.
Basi nishakujua sipati tena taabu na wewe Ammi J.
 
Back
Top Bottom