Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue nini sasa wakati kocha Nabi keshasema miezi mitatu ndo muunganiko utapatikana,au hufatilii habari zenu Ammi J?Tutajua jumamosi tar 25/9/2021.Mwisho wa umbeya na Majigambo
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana Rage aliwaita mashabiki wa Simba SC Mambumbumbu .Umeshindwa kusoma,kuelewa na kutafakari kilichoandikwa.Aidha siyo lazima kila kulichoandikwa ukijibu au ukitilee ufafanuzi wakati hukielewi.[emoji2958][emoji2958][emoji2958]Ujue nini sasa wakati kocha Nabi keshasema miezi mitatu ndo muunganiko utapatikana,au hufatilii habari zenu Ammi J?
Wewe ni shabiki wa Uto mitandaoni tu ila kiuhalisia ufatilii mambo ya michezo hasa timu lako bovu,ndo maana umepwaya sana.Ndiyo maana Rage aliwaita mashabiki wa Simba SC Mambumbumbu .Umeshindwa kusoma,kuelewa na kutafakari kilichoandikwa.Aidha siyo lazima kila kulichoandikwa ukijibu au ukitilee ufafanuzi wakati hukielewi.[emoji2958][emoji2958][emoji2958]
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kuanzia 2017 ndio Mara ya kwanza mmepanda hapo juuHebu ifikie hatua Klabu ituthamini walau kwa kutwaa ubingwa wa VPL basi. [emoji854][emoji854]
View attachment 1949294
Mmh!!Kuanzia 2017 ndio Mara ya kwanza mmepanda hapo juu
Na hiyo ni kutokea na ile winning strike yenu ya kuotea msimu uliopita kabla hamjarudi kwenye hali yenu ya kawaida
Akuna Fiston mzima wote ni wabovu tu.Naona tumpe mkataba wa fasta, Jerry tegete Kiboko ya Simba.
Huyu Mayele Fistoni l, anaweza kuwa kama fistoni yule mwingine.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Wale wenye midomo midomo wakae kwa kutulia mana yajayo yanafurahisha. 😅
Huyu kaseke ni winga hatari sana,.....
Unampatia sn nyoka[emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu, mnaonaje kesho akaanza kabwili, maana simba wanamuogopa ( walishawahi muhonga gari)
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Nyoka huwa ananikera kule Man U , nikaona bora nimuunge mkono tu.....Unampatia sn nyoka[emoji23][emoji23][emoji23]