Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasage chupa wanywe. 😂😂😂fᎬᎥsᎪᏞ sᎪᏞum fᎬᎥᏆᎾᏆᎾ [emoji172][emoji169][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji16]
Kuna watu wanateseka kuliko KMC
Hapo tusubirie tu mzigo atakaotwishwa Shikhalo. 😂😂fᎬᎥsᎪᏞ sᎪᏞum fᎬᎥᏆᎾᏆᎾ [emoji172][emoji169][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji16]
Kuna watu wanateseka kuliko KMC
95% unatoboa utabiri wako bidadaFt. 0-2
Maadui ndo huwa wanachangia sana mafanikio ya adui yake.Dah leo uto atafilwa hataamin
😀😀 KMC ilikuwa ile ya misimu miwili iliyopita ila si ya sasa.95% unatoboa utabiri wako bidada
Muda wa kupaki bus umefikaIla tuweni wakweli Second half kwetu bado kiuchezaji ina changamoto na ndio sababu hata sasa KMC wanasogea sana golini kwetu.
Tunahitaji kujifua zaidi ili dkk zote 90 tucheze sawa.
Nani anateseka Na ndondo cup hii??Yani mtu anashindania Bet halafu amuonee wivu anayeshindania kili awards?fᎬᎥsᎪᏞ sᎪᏞum fᎬᎥᏆᎾᏆᎾ [emoji172][emoji169][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji16]
Kuna watu wanateseka kuliko KMC
Ni sawa pia. 😂😂Muda wa kupaki bus umefika