Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tunashiriki lakini haiondoi ukweli kua ni Bonanza. Kombe hilo ni Ndondo Cup iliyochangamka😀😀😀Cha ajabu na nyie mnashiriki. 😅
Mtani Sure Boy alikuwa mchezaji huru[emoji28]
Wameshindwa nini kumuongeza mkataba sa? 😅Mtani Sure Boy alikuwa mchezaji huru[emoji28]
Unatamani kuwatetea viongozi wenu ila roho inakusuta[emoji16]Wameshindwa nini kumuongeza mkataba sa? [emoji28]
Sababu utaijua ninyi mpeni nafasi kikosi cha kwanza awaoneshe sababu.Wameshindwa nini kumuongeza mkataba sa? [emoji28]
Leo ndio utajua hujui. 😅😅Leo ndo siku husika Uto jiandaeni kisaikolojia
Life goes on wewe mwenyewe kuna sehemu usha wahi kosea ukafanya correction maisha yaka endeleaMetacha akirudi Yanga ntakuwa pembeni hadi atoke
Leo Yanga anashinda 3 bila.....
Muda utaongea[emoji16]Leo ndio utajua hujui. [emoji28][emoji28]
Labda ashinde uchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo Yanga anashinda 3 bila.....
Yah.Muda utaongea[emoji16]
Duuh!!Labda ashinde uchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
YeahYah.